Ujaona moves za Chelsea auMoves za Man City zinaonekana.
Magoli yanavyotengenezwa yanaonekana.
Ila Man Utd tunapoteza mipira isivyo kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app


Kala kofi kivipi?Lingard naona siku hizi yuko serious na kazi hata hivyo kala madongo ya ubovu wake kutoka kwa mashabiki naamini sasa hivi anaiona Man U chungu, perreira kala kofi la Rooney fresh wajinga wajinga wakazwe hakuna kudekezwa.
Unamaanisha, hata Chelsea naye ni mvimba macho?
Nimemuonea hadi huruma LingardLingard naona siku hizi yuko serious na kazi hata hivyo kala madongo ya ubovu wake kutoka kwa mashabiki naamini sasa hivi anaiona Man U chungu, perreira kala kofi la Rooney fresh wajinga wajinga wakazwe hakuna kudekezwa.
Mimi nataka nimfunge Chelsea(mchepuko wangu nilioufungulia saluni Sinza)
Nimemuonea hadi huruma Lingard
Yule shabiki kamtukana sana aisee..
Nimemuonea hadi huruma Lingard
Yule shabiki kamtukana sana aisee..
Kwani wewe ni mvimba macho?maana umepigwa kipigo cha mbwa koko game zote tatu????
Game alali mlotufunga ni ile ya kwanza tu ..izi zingine munabebwa bebwa ..Unamaanisha, hata Chelsea naye ni mvimba macho?
Maana Chelsea tokea msimu huu uanze, tumecheza naye mara tatu, tumemfunga mara tatu, naye ametufunga mara sifuri.
uu msimu na mingine inayofuata kama mitatu ivi hutashiriki hata Europa. Utaishia nafasi kadhaa kama uliyopo saiv yani..Kwani wewe ni mvimba macho?maana umepigwa kipigo cha mbwa koko game zote tatu????
Kabla ya kusema fikiri walau kidogo mdogo wangu......
Sent using Jamii Forums mobile app


MANCHESTER COMBINED XI 

Weka pichaNimemuonea hadi huruma Lingard
Yule shabiki kamtukana sana aisee..
Game alali mlotufunga ni ile ya kwanza tu ..izi zingine munabebwa bebwa ..
Natamani tukutane tena raund hii FA kile kipigo cha mbwa jiko tulichompa Liverpool tutaongeza Mara mbili apo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haeleweki kikosi kimepangwa kwa form ya sasa ama uwezo wa wachezaji.MANCHESTER COMBINED XI
Lee Sharpe and Paul Dickov have named their side if every player was fit. Do you agree with their picks?
Source#SKYSPORTS
Mnaonaje ipo Sawa h!! Changia.....View attachment 1379745
Sent using Jamii Forums mobile app
MANCHESTER COMBINED XI
Lee Sharpe and Paul Dickov have named their side if every player was fit. Do you agree with their picks?
Source#SKYSPORTS
Mnaonaje ipo Sawa h!! Changia.....View attachment 1379745
Sent using Jamii Forums mobile app