ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923

Jamaa apumzike kidogoNaona Lingard katika mechi hii ameamua kuwafunga midomo, ame-dominate ipasavyo, anatoa mipira nyuma na kuipandisha mbele peke yake, kiwango cha hali ya juu, Bruno kaboronga sana leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
DE GEA aanze benchiNorwich tutamtafuna vizuri tu
Rooney dakika za mwisho amechakarika sana..alitaka atufunge au??
Sasa macho kwenye derby yetu jumapili
Mtihani mkubwa sanaTrue
Huu uteja wa kufungwa na Pep kila siku OT tunaweza kuumaliza
Tatizo wanapoteza sana mipira na siyo aggressiveTimu imejitahidi japokuwa kuna moments tunajisahau mipira inapotea. Ila naona kweli timu yetu saivi na kila siku inazidi kua imara na confidence imekua nzuri saivi tukifika kwenye boksi ni goli linawindwa kwa gharama yeyote ile mfano goli la shaw limeonesha jinsi gani wachezaji walivyo na njaa na ujasiri wa kupiga mashuti golini tofauti na mechi za nyuma. Naona with this team tunafika Europa Fainali na top Four sio ishu tena.
#GGMU
Mkuu, hujawahi kumzungumzia Vizuri Martial una personal issues nae?Naona kameingia kale kajamaa kavivu kenye mkosi na timu yetu MARTIAL..pambaf sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Norwich tutamtafuna vizuri tu
Rooney dakika za mwisho amechakarika sana..alitaka atufunge au??
Sasa macho kwenye derby yetu jumapili