Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwanzo ulitaka nikutajie mechi hata moja ambayo Dalot alikuwa fit, na United tukatumia formation ya 3-5-2 lakini tukatumia Bissaka badala ya Dalot (ukidhani hakukuwa na mechi ya namna hiyo) , nimekutajia unakuja na story za mpira sio Playstation .... Dalot yupo kwenye kikosi, tena sub halafu unasema hakuwa fiti eti mpira sio play station, hivi unafahamu hapo Dalot alishacheza mechi kadhaa za U23 mpaka siku hiyo ya Liverpool. Kwenye hili sitapoteza muda tena kulijadili. Hapa Ole ameonesha Hajielewi, kwa kitendo cha kumpanga Bissaka kwenye mfumo wa 3-5-2 wakati Dalot yupo fiti

Unasema kwamba pale Matic alipokuwa fiti kiungo mwingine alikuwa wagonjwa na pale kiungo mwingine alipokuwa fiti Matic alikuwa mgonjwa. Ngoja nirudi halafu tuone hapa nani mwenye kichwa kigumu kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mdogo wake ole, kocha akae na wachezaji kila siku anatrain nao, anakula nao, anazungumza nao then hajui nani yupo fit ama hayupo, then wewe huku bongo unajua kuwa dalot alikuwa fit na kocha hakumpanga
 
Je OGS alikuwa hajui kuwa Pogba, Rashford na McTominay ni majeruhi akaendelea ku-risk kuwachezesha ?

Last season same situation game against Liverpool kina Lingard,Herrera walikuwa majeruhi akawachezesha wakaumia kwa muda mrefu zaidi

mkuu hilo siwezi kumtetea, hasa issue ya rashford ole ana lawama, na pia jopo la madaktari pia wanahusika. kwa pogba majeruhi yake alikuwa anaweza kucheza akisubiri upasuaji ile inaeleweka, ungeweza kufanywa mapema zaidi ama kusubiria.
 
Kuanzia mechi ya tarehe 11/8/2019 tulipocheza na Chelsea hadi tarehe 06/10/2019 tulikuwa na midfielder 4 waliopo fiti ukijumlisha na Pereira lakini OGS ali prefer hiyo formation ya kutumia midfielder 2 na si 4-3-3

Kwa mechi 4 za awali ambazo Ole aliitumia mfumo wa 4-2-3-1 Ole hakumweka Fred hata benchi, means ana viungo wa kutosha. Mechi ya kwanza Ole anamweka Fred kikosini, sio first eleven, ilikuwa ni September 14 (hapa bado hakuwa fiti kwa mujibu wako)

Huyo Fred akaanza kupata namba 06/10/2019 dhidi ya Newcastle (kwa mujibu wako hapa ndio akawa ana fitness) na Matic ghafla akapoteza fitness, akapoteza namba hivyo akawa anaanzia benchi, maana mechi ya Newcastle hakuanza lakini alikuwepo benchi

Kama nilivyosema awali United imekuwa na viungo 3 walio fit au zaidi mara nyingi sana hivyo suala la OGS kuchezesha mid 2 badala ya 3 ni uamuzi wake na si kwa sababu hana viungo. Narudia tena pia kuwa, kuchezesha mid yoyote iwe 2 au 3 haiifanyi timu kupata matokeo mazuri. Timu inapata matokeo mazuri kwa kuwa na wachezaji wazuri na coaching nzuri.

Unasema Maguire alikuwa fit ndio maana yeye alianza direct kwenye kikosi cha United. Narudia tena kwamba fitness ya Maguire haiwezi ku tofautiana na Fred, pengine Fred alikuwa fit zaidi.

Pre season ya Fred alicheza mechi 4 kama Maguire, pre season ya Fred alicheza dhidi ya Inter Millan, Tottenham, Kristiansund na Ac Millan wakati pre season ya Maguire alicheza dhidi ya Scunthorpe, Cheltenham, Cambridge Utd na Stoke City (ukiacha Stoke City ambayo nayo ni ya 21kwenye msimamo kati ya timu 24 za Championship, team hizi nyingine ni team flani za mchangani, ndizo Maguire alizojipima nazo pre season na zikamfanya awe fiti kuliko Fred aliyejipima na wababe wa Ulaya

Mara ya pili tena nakwambia mpira wa miguu si playstation, mchezaji alieumia siku 76 almost miezi 3 huwezi tegemea kapona tu ukamchezesha, even hizo under 23 ambazo wachezaji wanacheza kuregain fitness hawamalizi dakika 90 kabla ya mechi ya liverpool dalot hajacheza mechi hata moja ya Epl january ametoka majeruhi wewe kama kocha ungempiga benchi bissaka na kumpanga dalot?

Matic yupi mkuu? Huyu alieumia kuanzia mwezi wa 10 mpaka wa 12 na kumiss mechi 14? Ama kuna matic mwengine? Fred aliporudi kwenye kikosi Matic nae akaenda hospitali.

Mfano wa hio mechi?

Mkuu kuna kitu kikubwa unachanganya hapa
-match fitness
-kuzoeana na wachezaji wenzako.

Maguire alikuwa match fit anajiunga man utd tayari yupo fit, ameshiriki pre season ya leicester na amecheza mechi za kirafiki.

Fred yeye hakuwa fit, alivyokwenda pre season alikuwa akitrain mwenyewe means alikuwa na fitness ndogo sana.

Ni kama situation ya sasa, bruno ni match fit amekuja kikosi cha kwanza moja kwa moja ila Ighalo anahitaji wiki mbili hadi mwezi sababu gombea goli wanalocheza china sio Epl.

Ole anamsifia fred, Fred anamsifia ole wanapendana na dressing room yetu yote ni kitu kimoja ila wewe mzee upo huku unajua zaidi na kutoa kashfa.

Na ndio kazi ya shabiki kuwa nyuma ya Kocha na wachezaji hata kundi kubwa kabisa la mashabiki la Red Armies hio ndio motto yao, sio kazi ya shabiki kumfundisha kocha na kuponda kila anachofanya.

Nilikuwa nyuma ya LVG, mou na hata ole, watapata support yangu popote pale mpaka siku watakapokuwa hawahusiani na Man utd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Dalot hakuwa fit kwenye line up alikuwa anafanya nini, kwanini baadaye alimuingiza

Kwa hiyo kwa kuwa Ole (kocha) anakuwa na wachezaji muda wote ndio hawezi kukosea

Ole hajielewi, alifanya makosa ambayo yalifanya kibarua kiote nyasi pale Cardiff, na sasa anafanya makosa yatakayootesha kibarua chake mchanga pale Old Trafford
sawa mdogo wake ole, kocha akae na wachezaji kila siku anatrain nao, anakula nao, anazungumza nao then hajui nani yupo fit ama hayupo, then wewe huku bongo unajua kuwa dalot alikuwa fit na kocha hakumpanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Dalot hakuwa fit kwenye line up alikuwa anafanya nini, kwanini baadaye alimuingiza

Kwa hiyo kwa kuwa Ole (kocha) anakuwa na wachezaji muda wote ndio hawezi kukosea

Ole hajielewi, alifanya makosa ambayo yalifanya kibarua kiote nyasi pale Cardiff, na sasa anafanya makosa yatakayootesha kibarua chake mchanga pale Old Trafford

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu comment ya mwisho hii maana vitu vyengine hata kuongea nachoka,
1. mchezaji kukaa benchi haimaanishi yupo fiti, hata pogba alivyorudi mwezi wa 12 alikaa benchi na kuanza kuchezeshwa dakika chache kama sub, je kipindi pogba anaanza sub ilimaanisha pogba ni mchezaji mbaya ama hakuwa fit? mchezaji sio roboti unakaa siku 76 nje unaporudi huwezi tu eti ukaanza kikosi cha kwanza moja kwa moja inabidi ukae benchi upewe dakika chache hali ya kuwa una regain fitness.

2. ole hajafanya kosa lolote cardiff, alipewa kikosi katikati ya msimu kikiwa tayari kinashuka daraja alishindwa tu kukizuia. na kama hii ni factor klop ameishusha mainz daraja pia na yeye pia afukuzwe liverpool au walifanya makosa kumteua.
 
I don't care, make this deal happen
skysports___B8MVspFohWb___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole alimprefer Bissaka over Dalot simply Dalot asingeweza kubattle na Sadio Mane akiwa ametoka kwenye injury.

sawa mdogo wake ole, kocha akae na wachezaji kila siku anatrain nao, anakula nao, anazungumza nao then hajui nani yupo fit ama hayupo, then wewe huku bongo unajua kuwa dalot alikuwa fit na kocha hakumpanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla Rashy hajarudi, Ighalo atakuwa ndio striker wa kati na Tony atatokea pembeni

Atakaporudi, possibly atakuwa anachezeshwa baadhi ya game lakini kiujumla Tony atarudishwa kati,

Pia ujio wake unaweza kuwa na impact kwa DJ

Let's wait and see
Ighalo ndani ya nyumba..

Nina shauku sana kuona jinsi gani Ole atamtumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom