buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Aah thanks for correcting me
ukimuondoa joshua king kuna mshambuliaji mwengine unayedhani anaweza kuja man utd?
unaposema alikuwa ni mchezaji aliyekuwa kwenye mipango ya muda mfupi unamaanisha nini brother?
man utd walituma offer ya paundi millioni 20 kwa bournermouth lakini ilikataliwa ndipo wakamgeukia ighalo.
![]()
Joshua King: Man Utd boss Ole Gunnar Solskjaer coy on second bid for Bournemouth striker
Watch Manchester United vs Wolves on Saturday from 5pm on Sky Sports Premier League; kick-off is at 5.30pmwww.skysports.com
I know how Ole works.Sasa amechukuliwa kwa mkopo ili aje kufanya nini??
Tusimuone Ole kuwa ni mjinga kiasi hicho..japo he is not good enough IMO,lakini tusimdharau hivo..huwezi kumchukua mtu kwa mkopo tena aliyekuwa analipwa mpunga mrefu tu,then usiwe na malengo naye
Hizi stats ndo zinatudanganya mashabiki kuona tupo kwenye right track.
Hizi stats ndo zinatudanganya mashabiki kuona tupo kwenye right track.
Sent using Jamii Forums mobile app
.......# Viva Ronaldoooooo
.......# Viva Ronaldoooooo
Champions!!
Champions!!
Man U Rules!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Those days..... Daaah!!!.......# Viva Ronaldoooooo
.......# Viva Ronaldoooooo
Champions!!
Champions!!
Man U Rules!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
😂😂😂For non-Man U's mnisamehe kidogo! I gotta shout a little bit.
Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan U oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Karibuni OT, hameni kwenye hizo klabu changa.
![]()
😀
![]()
Hiki ndiyo kulikuwa kikosi, Nani, Ronaldo, Rooney, Tevez, Fednand
huyu dogo wamemtolea wapi inter milan?
cha kuvutia zaidi usajili wao umeangalia zaidi vipaombele vya mwalimu ila sielewi kwa nini antonio conte hapendi kusajili winga.Naona Inter Milan wako kwenye process ys kujijenga upya tena kwa maarifa makubwa sana.
Sitashangaa misimu miwili ijayo wakicheza UEFA Semi final
cha kuvutia zaidi usajili wao umeangalia zaidi vipaombele vya mwalimu ila sielewi kwa nini antonio conte hapendi kusajili winga.
victor moses na ashley young wote wanafiti kwenye mfumo wa 3- 5 - 2
I know how Ole works.
Ole ni kama amelogewa waingereza.
Anawaamini na kuwapenda sana.
Nadhani anawatumia ili asipigwe vijembe na pundits wa kingereza kama kina Morinho.
Yupo radhi apandishe mchezaji toka Accademy kuliko kuleta proven player.
Kumuuza Lukaku kumbakisha Rashford ni utumbo wa karne.
I know how Ole works.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu najaribu kulinganisha ile Man U na hii ya vivulana vya ajabuajabu
Yani unajitekenya alafu unacheka mwenyewe..





Hiki ndiyo kulikuwa kikosi, Nani, Ronaldo, Rooney, Tevez, Fednand
Hiki ni kikosi kabla ya 2003. Mi nilikuwa nazungumzia kikosi kuanzia 2005 hivi.COLE - YORKE4-4-2
GIGGS-KEAN-SCHOLES-BECKHAM
IRWIN - STAM - BROWN - NEVILLE
SCHMICHEL
Huu mziki ndiyo hautopata kutokea tena.
Hiyo Timu ya kina Tevez na Nani ni ya kawaida tu.
Hapo unahesabu kabisa una kocha.Hatujafunga goli hata moja kwenye EPL mechi 3 zilizopita
Tunashika nafasi ya 18 timu zilizopata point chache 2020 tumepata point 4 tumewazidi Brighton & Crystal Palace wenye point 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu alikosa kuaminiwa.Lukaku aliomba kuhama, hata hii interview ya juzi kasema mwenyewe na anamshukuru Ole kwa hilo na kumuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app