Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uku angalau kuna wachambua soka kidogo kwa mbaaaal munajitaidi ..ila timu munayoichambua sasa dah..

Ngoja nikae kimya tu..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwakuta wanavyo wachambua wachezaji wao mmoja mmoja sasa unajikuta unacheka tu,Mtu amekazana kumchambua sijui nani yule anaitwa Tuanzebe kama nimepatia jina lake siju unajiuliza huyu mchezaji wanayemchambua ni Van Djik au Trent Anorld au ni nani.
 
Hapa unatania au upo serious mkuu????yaani unaiita Arsenal ni timu ndogo kwa England??
Fact ni kwamba kwa sasa hizi timu 3 Man u ,Arsenal na Chelsea zimedrop...na zipo katika viwango sawa zote kwa sasa ndio maana mechi zake zimekuwa hazitabiriki zikikutana,
Lazima tukubali kuwa soka ni mbio za vijiti hakuna atakayekaa kileleni milele.....

Liverpool alibeba sana makombe huko nyuma lakini kumbuka amekaa 30yrs bila kubeba ligikuu na sasa wamerudi juu...

Chelsea pia walikaa 50 years nao wakarudi kipindi flani cha kati hapo wakawa vizuri sana....hivyo vingine vinakuwa visababu tu lakini fact ni kwamba hizi timu zetu kwa sasa ni zilipendwa.....hapo kuna mawili upotee mazima kama kina Nottingham Forest au urudi tena kama walivyoibuka Chelsea....

Tuwaachie wenzetu then zamu ikifika tutarudi tu juu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuifunga Arsenal ilikuwa rahisi sana kuliko Stoke City.

Hiyo ni kama tradition ya United ambayo Ole ameanza kuiondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atapangwa?

Nina wasiwasi Ole anaweza mpa mechi hazizidi 5 tu mpaka msimu uishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa amechukuliwa kwa mkopo ili aje kufanya nini??

Tusimuone Ole kuwa ni mjinga kiasi hicho..japo he is not good enough IMO,lakini tusimdharau hivo..huwezi kumchukua mtu kwa mkopo tena aliyekuwa analipwa mpunga mrefu tu,then usiwe na malengo naye
 
Fact
Screenshot_20200207_112848_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni likizo fupi mpya ndani ya EPL..inaitwa Winter Break,baada wa vilabu kulalamika kuchoka sana baada ya mikiki ya december
man city anacheza na west ham hapo kesho na zipo timu nyengine nimeona ratiba zao.
sababu ni ipi labda iliopelekea timu nyengine ziwe na mechi hapo kesho?
vipi kuhusu hiyo likizo kiupande wao
 
Naona Waingereza wamebaha, wameona wanajizulumu wao wenyewe
makocha wa timu ndogo wakiongozwa na arsene wenger (samahanini wapenzi wa arsenal) nakumbuka ndio walikuwa mstari wa mbele kuongoza harakati za kimageuzi za mfumo wa dirisha la usajili lifungwe siku moja kabla ya ligi kuanza.

wenger alikuwa na rekodi mbovu sana za kupoteza wachezaji wake muhimu katikati ya mwezi August hivyo basi alikuwa analalamika kukosa muda wa kuziba nafasi za wachezaji muhimu na pia tatizo la bajeti
aliondoka robin van persie
aliondoka cesc fabregas
aliondoka alexander song
aliondoka samir nassir
aliondoka thomas vermaelen
gael clichy
bakary sagna

alichosahau wenger kuchelewa kwa dirisha kufungwa kulimsaidia afanikiwe kusajili wachezaji takribani watano kwa muda mfupi baada ya kufungwa magoli 8.
mikel arteta
per mertesacker
santi cazorla
nacho monreal​

mwaka 2013

hatimaye mwaka 2017

na mwaka 2020
 
  1. hivi kuna faida gani inayopatikana pindi kocha mkuu anapofanya kazi kwa ukaribu sana na wakala wake kwenye mission za kusajili wachezaji ( jose mourinho vs jorge mendez)
  2. kuna hasara gani itakayopatikana pindi kocha mkuu anapoamua kufanya kazi kwa ukaribu zaidi na wakala wake linapokuja swala la usajili, au timu inapoamua kufanya biashara mara kwa mara na baadhi ya mawakala (jose mourinho vs jorge mendez, man utd vs mino raiola)
 
nimeikuta kwenye forum ya red cafe
sijaupitia huu uzi mpaka mwisho wala sijaingia ndani kufuatilia hii ishu hivyo basi kama itakuwa kuna uongo ndani yake au kuna mazuri zaidi ndani yake natumai wajuzi wa mambo wataweka wazi.

Ole Gunnar Solskjaer and Jim Solbakken
Apparently Ole Gunnar Solskjaers agent is Jim Solbakken and Atta Aneke is Jim Solbakkens business partner.

At Cardiff Ole signed 7 players managed by Solbakken and at Molde he signed 6 players managed by Solbakken and 4 managed by Atta Aneke.

Josh King was a Solbakken client four years ago and Ighalo is an Atta Aneke client.
============================

kuna harufu yeyote ya kusaidiana kwa marafiki hawa kweye mission za usajili?

man utd haifanani kabisa na molde au cardiff FC linapokuja swala la kusajili wachezaji, lakini kama itatokezea huyu jamaa Jim Solbakken anawahodhi wachezaji wenye wenye uwezo kama walivyo mawakala wengine hakutatokezea urafiki wa kibiashara kama ilivyokuwa cardiff na molde?

tukumbuke tumemkosa joshua king kwenye dirisha hili la usajili kwa ishu za maslahi tu hivyo basi huenda dirisha lijalo tukamrudia tena.
na pia upo uwezekano wa kumsajili ighalo kama kocha atavutiwa naye (na kuna njia nyingi za kocha kuvutiwa na mchezaji husika),

kwa mfano

kwa akili ya kawaida hivi inaingia akilini radamel falcao yule aliyejaa majeruhi yaliopeleka kushindwa kufanya vizuri man utd iliwezekana vipi msimu uliofuata kusajiliwa na chelsea iliokuwa chini ya jose mourinho kwa mkopo, radamel falcao tukumbuke wakala wake ni jorge mendez ambaye pia ni wakala wa jose mourinho.

Josh King sidhani kama watamrudia tena, yule alikua ni kwa-ajili ya mipango mifupi tu. Kwa hali tuliyonayo tukimsajili yule ni kama kujibebesha mzigo mwengine. Kwa sasa tunahitaji watu wapambanaji yule ni kama Martial tu.

Kuna mtu pia alisema kwa sera za sasa za UNITED (Youth, Courage, Success) Ighalo anaweza asisajiliwe japokuwa akionyesha kiwango anaweza kuachwa kwenye kikosi kama chachu ya upambanaji kwa hawa vijana kama Greenwood. Hata akisaini moja kwa moja bado ni lazima tuingie sokoni kusaka striker, hatuwezi kutegemea mtu kama Martial kuwa msaada kwetu huko mbele jamaa kiwango kimeshuka sana. Rashford naona huyu anashawishi kutegemea ukiangalia stats zake alianza PL na goli 5 na toka hapo amepanda kwa idadi ya magoli bila kushuka hadi msimu huu bora kabisa kwake ana goli 14.
 
Josh King sidhani kama watamrudia tena, yule alikua ni kwa-ajili ya mipango mifupi tu. Kwa hali tuliyonayo tukimsajili yule ni kama kujibebesha mzigo mwengine. Kwa sasa tunahitaji watu wapambanaji yule ni kama Martial tu.
ukimuondoa joshua king kuna mshambuliaji mwengine unayedhani anaweza kuja man utd?
unaposema alikuwa ni mchezaji aliyekuwa kwenye mipango ya muda mfupi unamaanisha nini brother?
man utd walituma offer ya paundi millioni 20 kwa bournermouth lakini ilikataliwa ndipo wakamgeukia ighalo.

Josh King alihitajika ili kuja ku-cover nafasi ya Rashford aliyekuwa majeruhi na sidhani kama ndio ilikua usajili wa kutibu forward line yetu. Kwa vyovyote vile timu ilibidi imchukue hata King kuja kufanya kazi mpaka Rashford atakapopona, hivyo ni lazima tu angekuwa na matumizi ya muda mfupi labda kiwango chake ndo kingempa namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza. King sio mchezaji wa kumuweka Rashford bench kwa form ambayo angetoka nayo pale AFCB. Hata kama tungempata King lazima tungeingia tena kusaka striker mwisho wa msimu, King alihitajika tu kwasababu dirisha la usajili January huwa hakuna wachezaji wengi wazuri walio sokoni kuuzwa.

Kuhusu striker anayeweza kuja United huwezi kujua kutokana na hali ya timu ilivyo wachezaji wengi saivi wanataka timu zinazoshiriki michuano mikubwa ili kupata makombe na kujitangaza zaidi ila striker yoyote anaweza kuja United kama tu anachokitaka atakipata.
 
Back
Top Bottom