Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Herrera hakuuzwa mkuu, aliondoka bure. Kumuacha aondoke peke yake ilikuwa ni kosa kubwa, kutotafuta mbadala baada ya kuondoka ni kosa kubwa sanaHerrera aliuzwa wakati alikuwa key player kwenye 4-3-3. Na hakuletwa mchezaji wa kumreplace Ander. Hiyo ni akili au matope?
Hata mashabiki waliona upungufu wa timu wakati tunaanza msimu. Kikosi kilikuwa chembamba sana. Kwanini kocha alikuwa comfortable wakati ule? Na wengi wakasema, ikiwa tukapata majeruhi tutatafutana humu. Na kweli tukapata majeruhi.
Wachezaji kupunguza morali baada ya kocha kupewa mkataba ni kosa la nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa ni la nani hapa? Kwanza Ed+bodi ambao walikubali hali iwe hivyo, pili OGS ambaye si tu kwamba hakusisitiza vya kutosha kwa bodi tupate mbadala, lakini pia aliiaminisha bodi na mashabiki kuwa ana good squad
Kazi ya ku motisha wachezaji ni coaching staff, tunarudi kwa inefficient Ole
Sent using Jamii Forums mobile app