Hoja ya Bruno kuzungukwa na wachezaji wabovu haina uzito Mkuu
Kwani pale Sporting alizungukwa na akina nani?
Man Utd wakiwa kamili, yupo Degea/Romero, Wana Bissaka/Dalot, Shaw/Williams, Lindelof, Tuanzebe, Maguire, Bailly, Tominay/Fredy/Matic, Pogba, Rashford, Martial, Greenwood, James
Summer additions: Madison/Grealish, Sancho/Right winger Grealish na Striker yoyote (hawa tuachane nao)
Labda poor coaching ndio imuangushe. Na hilo benchi la ufundi (likiendelea hivyo) a summer after next summer hatutakuwa nalo
Sent using
Jamii Forums mobile app