Mkuu naona kichwa chako ndio kigumu mno kuelewa mambo yaliyo dhahiri shairi
Hivi Martial anafanana vipi na Jimenez kiuchezaji, Jimenez wa Wolves ninayemuongelea ndiye unayemuongelea wewe? Sina uhakika kuhusu hilo.
Kuhusu Pogba kutaka kuondoka unasema ni umbea, are you serious mkuu? Direct quotes from Pogba's mouth amesema anataka new challenge (baada ya kuulizwa mustakabali wake United) wewe leo unatuambia humu ni umbea. Raiola mara ngapi amesema kuwa Pogba anataka kuondoka na anamfanyia mpango wa kwenda timu nyingine, huo nao ni umbea? Wewe unatumia source gani mkuu kupata Habari ambazo sio umbea? Labda meongea na Pogba face to face au OGS akakwambia kuwa hana mpango wa kuondoka
Unasema Pogba hajawahi ku submit request (nadhani unamaanisha ya maandishi) ya kuondoka, kwani Lukaku amawahi ku submit transfer request?
Nimekuwekea attachment ya mazingira yaliyosababisha Lukaku kutaka kuondoka, he felt not wanted at Man Utd, he felt not cared....... Baada kuona hapewi umuhimu ndio akaamua kuondoka.
Vipi kuhusu Pogba, amepewa care yote aliyotaka lakini amekuwa aking'ang'ania kutaka kuondoka. Nadhani duniani nzima ni wewe tu unayeamini kwamba Pogba hataki kuondoka United isipokuwa ni umbea wa magazeti, ni wewe tu duniani unayeamini hivyo
Halafu mtu anakuja kutudanganya eti hamna mchezaji mkubwa kuliko United, hivyo Lukaku had to go kwa kuwa alitaka kuondoka. Kwa msingi huo huo Pogba had to go kwa kuwa hataki kuwepo United, unless yeye ni mkubwa kuliko United (double standard)
Sent using
Jamii Forums mobile app