Mzee I don't know why you hate Lukaku so much na kuendelea kuamini huu uzushi wa kina GNeville.

Lukaku is still better striker ukilinganisha na tulio nao he is now playing for manager/team who know to utilize his strength despite hizo propaganda unazosema Lukaku was still score many goals the same time when he play for Belgium.We know why Lukaku decide to leave United (Didn't fit in OGS formation )

Luke Shaw have been overweight since United sign him but GNeville and his friends they have quiet.
Uzito unaendana na urefu maguire ni mrefu zaidi ya lukaku, medical za inter alikuwa na kg 104, hapo tayari ameshahudhuria pre season na Man U.

Ndio maana lukaku alivyofika Inter kitu cha kwanza ni mazoezi ya kupunguza uzito sasa hivi ana 93kg, ameshakata kilo 11.

Timu watu walishaanza kuiview kama retirement place, sehemu ya kuchukua mshahara mkubwa na kula bata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GNeville punditry is trash
 
Yani Rashi Forward sijui utoto unamsumbua kama Lingard afu huyu bishoo wetu Martial na Virus Pogba kero tu yani me kwa sasa hata sioni umaana wa Dirisha La usajiri maana Halitusaidii kivyovyote zaidi ya kutupa Presha tu na Ku nominate watu afu mwisho wasiku zinabaki kuwa Tetesi.
Waje hivyo hivyo hata kina Grealish mradi huyu bishoo huko mbele ajue now hatumtegemei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi I will take Lukaku all day long ahead of Martial

Hata huo uzito unaotajwa kuwa mkubwa kwa Lukaku, ilikuwa ni muscles na sio fat

Na pamoja na uzito huo, bado alikuwa one of the fastest player pale Man Utd

After all suala la weight sio ishu, ni kocha kumwambia tu apunguze weight na inakuwa hivyo, just like Conte alivyofanya

Lukaku ni striker ambaye yupo tayari kuvunjika pua akitafuta goli, Lukaku ni striker ambaye atakufungia beautiful goals na scrapy goals

Kila anachokitafuta OGS kwa akina Martial kinapatikana kwa Lukaku, na bahati mbaya tulishamuuza
Uzito unaendana na urefu maguire ni mrefu zaidi ya lukaku, medical za inter alikuwa na kg 104, hapo tayari ameshahudhuria pre season na Man U.

Ndio maana lukaku alivyofika Inter kitu cha kwanza ni mazoezi ya kupunguza uzito sasa hivi ana 93kg, ameshakata kilo 11.

Timu watu walishaanza kuiview kama retirement place, sehemu ya kuchukua mshahara mkubwa na kula bata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi I will take Lukaku all day long ahead of Martial

Hata huo uzito unaotajwa kuwa mkubwa kwa Lukaku, ilikuwa ni muscles na sio fat

Na pamoja na uzito huo, bado alikuwa one of the fastest player pale Man Utd

After all suala la weight sio ishu, ni kocha kumwambia tu apunguze weight na inakuwa hivyo, just like Conte alivyofanya

Lukaku ni striker ambaye yupo tayari kuvunjika pua akitafuta goli, Lukaku ni striker ambaye atakufungia beautiful goals na scrapy goals

Kila anachokitafuta OGS kwa akina Martial kinapatikana kwa Lukaku, na bahati mbaya tulishamuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
suala la lukaku na ole limeshafungwa mkuu lukaku amehojiwa zaidi ya mara 10 na zote ameeleza yeye ndio ametaka kuondoka na hakuna mchezaji yoyote ambaye ni mkubwa kushinda club, ametaka kuondoka na ameruhusiwa kesi imeisha

guys mnatakiwa muelewe mfumo na sio kuanza kucompare wachezaji mmoja mmoja, kwenye mfumo wa ole martial na lukaku hawagombanii namba, unafikiri kwanini Rashford anafunga sana? kwanini ole alitaka kumchezesha lukaku kulia?

hata kama martial anaondoka replacement yake atakuja false 9 mwengine design ya dybala, firmino, messi etc unaweza angali hizi picha kuonesha role ya false 9 zaidi
MessiF9Barca_crop_exact.jpg

MessiF9Barca2_crop_exact.jpg

kazi ya false 9 ni kutengeneza movements na kuwavuta mabeki ili wachezaji wa pembeni waweze ku exploit hizo nafasi kufunga.

kwa wasio fahamu historia ya club ole ndio mind behind Christiano ronaldo aliemfanya afunge, misimu ya kwanza Ronaldo alikuwa ni playmaker akitoa assist nyingi kuliko ufungaji magoli, ole misimu yake ya mwisho na hata alipostaafu alipewa role ya 1st team coach kuwafundisha namna ya kufunga, na alishiriki kwenye ule mfumo wetu maarufu kama 4-6-0, wote ronaldo, tevez, rooney hawakuwa mastriker wa kukaa mbele, rooney ama tevez mmoja alichukua role ya false 9 na kusababisha ronaldo afunge magoli mengi sana.

ndio kitu kinachorudiwa sasa hivi, martial yeye kazi yake ni kuhold mipira, kutengeneza movements, kufunga inapobidi, na role nyengine za false 9 ila wafungaji haswa ni wa pembeni yake ndio maana Rashford msimu huu amepata nafasi za kufunga nyingi, amekosa magoli mengi kuliko aliyofunga.

hata huyo striker Ole anaemtafuta sio kwamba anakuja kumreplace martial, bali anatafutwa mtu atakaetupa dimesnion nyengine aka plan B. ndio maana wote ambao tupo linked nao si watu wa kuanza kuna slimani, rondon, maxi gomez etc
 
Mzee I don't know why you hate Lukaku so much na kuendelea kuamini huu uzushi wa kina GNeville.

Lukaku is still better striker ukilinganisha na tulio nao he is now playing for manager/team who know to utilize his strength despite hizo propaganda unazosema Lukaku was still score many goals the same time when he play for Belgium.We know why Lukaku decide to leave United (Didn't fit in OGS formation )

Luke Shaw have been overweight since United sign him but GNeville and his friends they have quiet.

Sent using Jamii Forums mobile app
sio uzushi wa G neville ni data za medical za inter milan, kama huamini data picha unaweza kuamini?
Ds72CSEV4AEwKvb

NINTCHDBPICT0004551488541.jpg

na lukeshaw ni overweight ndio wakisema wasiposema hio ni fact, makocha wote kuanzia lvg hadi mou wameshalisema hadharani na ole analisema kwenye pitch.

na mimi sio hater wa lukaku angalia thread za zamani ni katika wadau waliokuwa wakimtetea sana huyu jamaa ila naamini mfumo mpya ni bora zaidi, rashford kabla kuumia kila idara amempita lukaku kuanzia magoli hadi assist na mambo mengine. na wewe ulikuwa ni mdau mzuri tu wa kutaka vardy aje kama backup wa lukaku sababu vardy ni more clinical (naweza lifukua hili kaburi), ila sababu humpendi kocha lazima hili uwe upande wa lukaku.
 
suala la lukaku na ole limeshafungwa mkuu lukaku amehojiwa zaidi ya mara 10 na zote ameeleza yeye ndio ametaka kuondoka na hakuna mchezaji yoyote ambaye ni mkubwa kushinda club, ametaka kuondoka na ameruhusiwa kesi imeisha

guys mnatakiwa muelewe mfumo na sio kuanza kucompare wachezaji mmoja mmoja, kwenye mfumo wa ole martial na lukaku hawagombanii namba, unafikiri kwanini Rashford anafunga sana? kwanini ole alitaka kumchezesha lukaku kulia?

hata kama martial anaondoka replacement yake atakuja false 9 mwengine design ya dybala, firmino, messi etc unaweza angali hizi picha kuonesha role ya false 9 zaidi
MessiF9Barca_crop_exact.jpg

MessiF9Barca2_crop_exact.jpg

kazi ya false 9 ni kutengeneza movements na kuwavuta mabeki ili wachezaji wa pembeni waweze ku exploit hizo nafasi kufunga.

kwa wasio fahamu historia ya club ole ndio mind behind Christiano ronaldo aliemfanya afunge, misimu ya kwanza Ronaldo alikuwa ni playmaker akitoa assist nyingi kuliko ufungaji magoli, ole misimu yake ya mwisho na hata alipostaafu alipewa role ya 1st team coach kuwafundisha namna ya kufunga, na alishiriki kwenye ule mfumo wetu maarufu kama 4-6-0, wote ronaldo, tevez, rooney hawakuwa mastriker wa kukaa mbele, rooney ama tevez mmoja alichukua role ya false 9 na kusababisha ronaldo afunge magoli mengi sana.

ndio kitu kinachorudiwa sasa hivi, martial yeye kazi yake ni kuhold mipira, kutengeneza movements, kufunga inapobidi, na role nyengine za false 9 ila wafungaji haswa ni wa pembeni yake ndio maana Rashford msimu huu amepata nafasi za kufunga nyingi, amekosa magoli mengi kuliko aliyofunga.

hata huyo striker Ole anaemtafuta sio kwamba anakuja kumreplace martial, bali anatafutwa mtu atakaetupa dimesnion nyengine aka plan B. ndio maana wote ambao tupo linked nao si watu wa kuanza kuna slimani, rondon, maxi gomez etc
Lukaku: When Solskjaer said he wanted to put me on the wing, I knew my time at Man Utd was over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me kwa upande wangu hakuna mchezaji Man u ninae muelewa hanaga pupa akiwa na mpira kama Matic yule jamaa asee sina cha kumpinga tatizo lake ni moja tu hapandishi timu oops
Asee dogo ananikosha, Movement zake zisizotabirika na pasi za kufika kwa walengwa pamoja na kuchochea mashambulizi ndivyo vinanikosha

Nje ya comment.

Matic nampenda sana anavyoanzisha ball baada ya filimbi kulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Pogba ametaka sana kuondoka lakini tumemng'ang'ania, does it mean Pogba ni mkubwa kuliko United? Kaka yake Pogba ameongea kuhusu hamu ya mdogo wake kwenda Spain, Wakala wake ameongea zaidi ya mara 3 kuwa Pogba anataka kuondoka na yeye mwenyewe amesema anataka changamoto mpya, mbona OGS alimng'ang'ania?

Tena afadhali Lukaku ameongea mambo mengi baada ya kuondoka, lakini PP hana heshima, anaongea wakati bado yupo kwenye timu inayompa mkate wake wa kila siku

Kuhusu nafasi ya striker nina uhakika Rom akipewa majukumu kama aliyopewa Rashford (ikiwemo kuwa mpiga penati wa timu) hakuna striker ambaye atamkuta kwa magoli kwa wale waliopo United

Umesema kwa sasa tunawataka akina Rondo, Sliman & Co. ili wawe second fidle kwa akina Martial, je umesahau juzi juzi tu tulimtaka Haaland. Ina maana tulitaka awe anatokea benchi ili akina Martial waanze? Maana huyo Haaland ni style ya akina Lukaku na sio Martial. Pia tumekuwa linked na Raul Jimenez, unategemea tukisajili striker kama yeye atakuwa namba 9 aina ya Martial.

Unahitaji striker wa aina tofauti na akina Martial, unamuachaje Lukaku ili ununue mtu kama Sliman ambaye ni reject wa Leicester au Rondo. Kiufupi hao akina Rondo tunawataka kwa sababu ndio wapo available, na lengo ni kuongeza namba/idadi maana kikosi kimekumbwa na majeruhi kwenye nafasi ya striker na hata kabla ya majeruhi idadi ya ma striker ilikuwa ni ndogo

Ukweli kuhusu Rom kuondoka United, ni kwamba OGS hakuonesha kumthamini na hapo ndipo Lukaku alipoamua kuondoka. Kuna interview aliwahi kusema mara ya kwanza kuhisi mwisho wake umefika pale United ni alipoitwa na OGS ofisini na kumwambia atamtumia kutokea pembeni badala ya katikati. Kwahiyo hata kama Rom alionesha kutaka kuondoka ni baada ya kuoneshwa na kocha kwamba yeye si muhimu kikosini. Lukaku hakuoneshwa upendo hivyo akaamua kuondoka.

Ukweli kuhusu Pogba ni kwamba pamoja na OGS kuonesha yeye ni muhimu sana kwenye mipango yake lakini mchezaji mwenyewe hataki kuwepo United, lakini kwa kuwa OGS yupo obsessed na Pogba anamn'gang'ania. Kama kweli msimamo ni kuwa na wachezaji tu ambao wanataka kucheza United, Pogba angekuwa wa kwanza kuindolewa na sio Lukaku (Na huu ni kati ya unafiki ambao nimemuona nao OGS). Pogba alioneshwa upendo na bado ameonesha wazi wazi nia ya kuondoka.

suala la lukaku na ole limeshafungwa mkuu lukaku amehojiwa zaidi ya mara 10 na zote ameeleza yeye ndio ametaka kuondoka na hakuna mchezaji yoyote ambaye ni mkubwa kushinda club, ametaka kuondoka na ameruhusiwa kesi imeisha

guys mnatakiwa muelewe mfumo na sio kuanza kucompare wachezaji mmoja mmoja, kwenye mfumo wa ole martial na lukaku hawagombanii namba, unafikiri kwanini Rashford anafunga sana? kwanini ole alitaka kumchezesha lukaku kulia?

hata kama martial anaondoka replacement yake atakuja false 9 mwengine design ya dybala, firmino, messi etc unaweza angali hizi picha kuonesha role ya false 9 zaidi
MessiF9Barca_crop_exact.jpg

MessiF9Barca2_crop_exact.jpg

kazi ya false 9 ni kutengeneza movements na kuwavuta mabeki ili wachezaji wa pembeni waweze ku exploit hizo nafasi kufunga.

kwa wasio fahamu historia ya club ole ndio mind behind Christiano ronaldo aliemfanya afunge, misimu ya kwanza Ronaldo alikuwa ni playmaker akitoa assist nyingi kuliko ufungaji magoli, ole misimu yake ya mwisho na hata alipostaafu alipewa role ya 1st team coach kuwafundisha namna ya kufunga, na alishiriki kwenye ule mfumo wetu maarufu kama 4-6-0, wote ronaldo, tevez, rooney hawakuwa mastriker wa kukaa mbele, rooney ama tevez mmoja alichukua role ya false 9 na kusababisha ronaldo afunge magoli mengi sana.

ndio kitu kinachorudiwa sasa hivi, martial yeye kazi yake ni kuhold mipira, kutengeneza movements, kufunga inapobidi, na role nyengine za false 9 ila wafungaji haswa ni wa pembeni yake ndio maana Rashford msimu huu amepata nafasi za kufunga nyingi, amekosa magoli mengi kuliko aliyofunga.

hata huyo striker Ole anaemtafuta sio kwamba anakuja kumreplace martial, bali anatafutwa mtu atakaetupa dimesnion nyengine aka plan B. ndio maana wote ambao tupo linked nao si watu wa kuanza kuna slimani, rondon, maxi gomez etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Pogba ametaka sana kuondoka lakini tumemng'ang'ania, does it mean Pogba ni mkubwa kuliko United? Kaka yake Pogba ameongea kuhusu hamu ya mdogo wake kwenda Spain, Wakala wake ameongea zaidi ya mara 3 kuwa Pogba anataka kuondoka na yeye mwenyewe amesema anataka changamoto mpya, mbona OGS alimng'ang'ania?

Tena afadhali Lukaku ameongea mambo mengi baada ya kuondoka, lakini PP hana heshima, anaongea wakati bado yupo kwenye timu inayompa mkate wake wa kila siku

Kuhusu nafasi ya striker nina uhakika Rom akipewa majukumu kama aliyopewa Rashford (ikiwemo kuwa mpiga penati wa timu) hakuna striker ambaye atamkuta kwa magoli kwa wale waliopo United

Umesema kwa sasa tunawataka akina Rondo, Sliman & Co. ili wawe second fidle kwa akina Martial, je umesahau juzi juzi tu tulimtaka Haaland. Ina maana tulitaka awe anatokea benchi ili akina Martial waanze? Maana huyo Haaland ni style ya akina Lukaku na sio Martial. Pia tumekuwa linked na Raul Jimenez, unategemea tukisajili striker kama yeye atakuwa namba 9 aina ya Martial.

Unahitaji striker wa aina tofauti na akina Martial, unamuachaje Lukaku ili ununue mtu kama Sliman ambaye ni reject wa Leicester au Rondo. Kiufupi hao akina Rondo tunawataka kwa sababu ndio wapo available, na lengo ni kuongeza namba/idadi maana kikosi kimekumbwa na majeruhi kwenye nafasi ya striker na hata kabla ya majeruhi idadi ya ma striker ilikuwa ni ndogo

Ukweli kuhusu Rom kuondoka United, ni kwamba OGS hakuonesha kumthamini na hapo ndipo Lukaku alipoamua kuondoka. Kuna interview aliwahi kusema mara ya kwanza kuhisi mwisho wake umefika pale United ni alipoitwa na OGS ofisini na kumwambia atamtumia kutokea pembeni badala ya katikati. Kwahiyo hata kama Rom alionesha kutaka kuondoka ni baada ya kuoneshwa na kocha kwamba yeye si muhimu kikosini. Lukaku hakuoneshwa upendo hivyo akaamua kuondoka.

Ukweli kuhusu Pogba ni kwamba pamoja na OGS kuonesha yeye ni muhimu sana kwenye mipango yake lakini mchezaji mwenyewe hataki kuwepo United, lakini kwa kuwa OGS yupo obsessed na Pogba anamn'gang'ania. Kama kweli msimamo ni kuwa na wachezaji tu ambao wanataka kucheza United, Pogba angekuwa wa kwanza kuindolewa na sio Lukaku (Na huu ni kati ya unafiki ambao nimemuona nao OGS). Pogba alioneshwa upendo na bado ameonesha wazi wazi nia ya kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hichi ndicho kilichomuondoa Lukaku, na hayo ni maneno yake mwenyewe
Screenshot_20200131_081943_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20200131_082010_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20200131_082119_com.android.chrome.jpeg

Mkuu una kichwa kigumu sana

Man united haijamuacha lukaku ametaka kuondoka zaidi ya mara 10 sasa naongea hilo suala na still unalirudia.

Na kwa ole lukaku sio kwamba hakuwa na nafasi bali mfumo wa ole unamuona kama striker wa kulia, hivyo kama lukaku ana nafasi kwanini Haaland asiwe na nafasi?

Na unamuangalia jimenez mkuu? Ni exactly type ya martial, sio striker wa kukaa mbele na kufunga, he is more of false 9.

Issue ya pogba ni tofauti na kama anataka kuondoka aki submit official request sidhani kama club itamzuia mambo mengi ya huyu jamaa ni umbea umbea unaokuzwa na media na tetesi zisizo na mbele wala nyuma. Hadi ameumia hachezi na still media zinamlaumu mechi tunazofungwa, ukitoa mara moja kabla msimu haujaanza wakati wa usajili unaweza toa ushahidi wowote kwamba pogba ameongea either kwenye media ama popote pale jambo baya kuhusu sisi ama yeye kutaka kuondoka? Mashabiki wengi wa man U sasa hivi tumekuwa puppets wa media kutangaza tu propaganda zao.
 
Hapa Lukaku anasema kwamba alijua kwamba muda wake kucheza United umekwisha punde baada ya kuona anachezeshwa nafasi ya pembeni View attachment 1341743View attachment 1341744

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeuliza hili swali huko juu hamjanijibu world cup na mechi kibao timu ya taifa anachezeshwa pembeni lukaku na Martinez je amehama belgium? Aliona hatakiwi belgium? Alitoka kwenye vyombo vya habari na kulaumu? Alivujisha habari za siri za training?

Kama timu ya taifa isiomlipa mshahara wala kuspend zaidi ya 70m kumsajili inamchezesha pembeni na halalamiki why timu yake kabisa ikimchezesha pembeni iwe ni kosa?

Na kama anatoa sababu hana makosa sababu belgium anafanya vizuri (ambako anachezeshwa pembeni) huoni kwamba na huku ange flourish kucheza kama timu ya taifa?
 
Back
Top Bottom