Na unam rank PP kama mfia timu?

Lukaku alicheza kwa ajili ya timu kuliko Mr. attention Pogba anavyojitolea kwenye timu
Watu hawafahamu umuhimu wa kuwa na wachezaji wanaoheshimu jezi, Mc tominay kipaji chake kidogo sana lakini anajua umuhimu wa kuvaa ile jezi.

Madongo anatupiwa ole lakini hio ni mentality ya mchezaji tayari. Na kazi kubwa tunayoifanya sasa hivi ni cultural reboot, toa mercenary wote waje vijana wenye njaa ya mafanikio ambao watapambana dakika zote 90.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is something Manchester United have lost. That "pride to be in" factor.
Screenshot_20200130-194219.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumsajili BRUNO ni sawa sawa na kufunga Gear box mpya kwenye GARI BOVU, sasa muendelee kulitengeneza gari lenu kwa kununua:-

1. Engine mpya

2. Matairi mapya

3. Mrekebishe umeme wa gari kuna waya unipiga shot (POGBA)

4. Mrekebishe body ya gari na kuipiga rangi

5. Na pale mbele ya gari mfunge ngao mpya ngumu na imara. Ondoeni huyo ya zamani (Matial).

6. Pia Kuna mguu unagonga sana (Lingard) ubadilisheni.

HONGERENI KWA USAJILI WA BRUNO, BONGE LA USAJILI.



Sent using Cash Money Wings
Dah wewe jamaa upo makini sana kichwani mwako
 
Hana
Dah wewe jamaa upo makini sana kichwani mwako
lolote, pogba hakuna asiyejua kuwa ni kirusi, uliona mwenyewe kocha kukumtumia mechi muhimu kwa sabb za pogba mwenyewe. Let things be bwana. Akiumwa makusudi let him be, akitaka kupambana nafasi yake ipo, hivyo ndivyo kocha alivyomchukukia, kocha anamtumia mchezaji anataka atumike, na wote wanaopewa Chance hiyo wanafanya vizur.

Nikimeza mate kidogo, ndg yangu

beki yenyewe haijakaa vzr wanaendelwa kuangalia best centre back. Bado tunajua tunahitaji defending midfield, na striking power machine.

Mkuu Manchester United is a lovely club on Earth.
 
Hujamtaja kama mfia timu, japo hujamtaja kama muangusha timu kama unavyomtaja Lukaku

Maguire pia ana kilo 100,naye tumuuze mkuu, Captain na anaonekana ni mfia timu au wewe unamuona sio mfia timu kwa kuwa ana kilo 100?
Wapi nimetaja pogba mkuu?

Lukaku kaondoka man u ana kilo zaidi ya 100 alikuwa anaifiaje hio timu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujamtaja kama mfia timu, japo hujamtaja kama muangusha timu kama unavyomtaja Lukaku

Maguire pia ana kilo 100,naye tumuuze mkuu, Captain na anaonekana ni mfia timu au wewe unamuona sio mfia timu kwa kuwa ana kilo 100?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzito unaendana na urefu maguire ni mrefu zaidi ya lukaku, medical za inter alikuwa na kg 104, hapo tayari ameshahudhuria pre season na Man U.

Ndio maana lukaku alivyofika Inter kitu cha kwanza ni mazoezi ya kupunguza uzito sasa hivi ana 93kg, ameshakata kilo 11.

Timu watu walishaanza kuiview kama retirement place, sehemu ya kuchukua mshahara mkubwa na kula bata.
 
Back
Top Bottom