Bad
Mkuu mimi ni mmoja wa wadau humu wakati watu wanatake side ya pogba na kumponda mourinho nilikuwa upande wa kocha, na nilitaka kipindi kile kile wakiondoka waondoke wote, kama ole hamtaki pogba ataondoka, kama pogba hataki man U ataondoka vile vile, ila mambo mengi ambayo yanasemwa juu ya huyu jamaa ni uzushi, mchezaji pia kaka yake kusema ana dream ya kucheza spain ni jambo baya? As long as ana mkataba na ni proffesional akautii huo mkataba kuna ubaya gani?

Pogba huyu huyu december amecheza mechi mbili sijui tatu hali ya kuwa ni majeruhi na maumivu, pogba huyu huyu halalamiki akichezeshwa out of position, jamaa muda wote amekuwa proffesional.

Na kuhusu huyo lukaku mkuu ame submit official kwa wahusika kwamba anataka kuondoka mwezi wa 3 na amekubaliwa as a proffesional alitakiwa kutii mkataba wake, lakini kitendo cha kujibizana na man u na kutoa siri za mazoezini kinaonyesha jinsi alivyo insecure, na according to luke shaw ole aliwaambia wakimbie taratibu hivyo hata zile data alizovujisha amedanganya kwamba yeye ni fast player.

Hii mada ya lukaku iishe hapa mkuu ila naomba hii comment iwe reference tuone inter itaishia vipi
Bado nabaki palepale, Pogba sijawahi kujua kwanni ole alimkumbatia, Pogba alishaonyesha disrespectful tangu Ferguson era. Fergie akamuondoa. Though he world professional, mata, ana discipline Sana, Pogba hana ama anautoto, alitakiwa aelelekezwe, tofauti na Morinyo, ole anamzungumzia very positive, like he is sick, paper distroy his players, hayo ni maneno ya utetez kwa wachezaji wake. Morinnho just fuk around, yaani anatema Checheee mchezaji anamsema na kadhalika.

He is one of the best Coach on Earth. Lkn leadership skills sifuri. Anakosanakosana na watu. Sio mbaya kuonyesha emotions lkn sometimes you have to cool down.

Nilimuelewa sana Ole, hadi de gea alikuwa aondoke, lkn mlinda mlango ametulia, i thought the same kwa Pogba, Mungu amsaidie apone. Ila angekuwa anajitahidi kukaa kimya, kama unafanya kaz sehem huku unasema viby uongozi wewe ni useless, chizi.

Lukalu ni miongoni mwa respected players! Nidhamu yake inamfanya awe vile, kwa sisi wakongwe wa soka, sion mchezaji wa kutisha kwenye hizi Liverpool, man city, ni wakawaida sana.

Tafuta wachezaji wenye nidhamu uwanjani wengi ni best players. Nidham inamuacha salama mtu yoyote including players, pogba ataanguka akiendelea na upuuz wake.
 
84061719_168521354430778_8422545907384042088_n(1).jpg

kama anamwambia vile sasa nimekuja ushindwe mwenyewe kufunga kwa mapande nitakayo kupa
 
Haha Martial akiwa langoni ni mtulivu kuliko hata Rashford.
Rashford akishafunga goli moja anaweza poteza chance nyingi
MATIAL alicho mnong'oneza BRUNO kwenye mazoezi:-

Karibu sana kaka, ila naomba jambo moja kwako, kwa kweli sijui nakosea wapi, sometime mguu wangu unaenda kombo, nabaki na goal napaisha, muda mwingine nabaki na kipa nambabua.

Kaka naomba usiwe unanipa pasi za kumalizia mpira wavuni nitaaibika kukosa magoli, naomba unipe pasi na mimi nikokote kidogo nipige chenga, bora nilaumiwe kupoteza mpira kwenye chenga kuliko kukosa goal la wazi.

Naomba pass za mwisho nyingi mpe Rashford. Nipe pass ya mwisho pale umehakikisha kipa ametoka golini. Nakuahidi kaka nitakupa 10% ya mshahara wangu. Nifichie siri kaka. Ahsante Bruno.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi mno timu yetu kusajili mtu (Bruno Fernandes) mwenye kipaji na uwezo mkubwa japokuwa sio mara kwanza kuleta watu wenye vipaji sawa na yeye au kumzidi kuanzia Angel Di Maria mpaka Paul Pogba na wote hawa wamefanya chini ya matarajio.

Kusema kweli matatizo yetu sisi sio wachezaji wala benchi la ufundi pekee ni zaidi ya hapa. Mtu mwenye jukumu la kuunganisha hizi talents ndo mbovu, maana yangu hapa ni kwamba ukiwa na mtu makini ktk hii nafasi anaweza kuajiri kocha hata mwenye uwezo wa kawaida ila akampa nyenzo za msingi anazozihitaji kwa wakati pasipo hata kutumia pesa nyingi. Unakua unafanya kazi ya usimamizi wa timu hususani on football decisions depending on technical team template, wao ndio watakuambia wanamtaka nani na kwa wakati gani ili kuweka targets zinazofika baada ya kuwapa kila nyenzo wanayohitaji kwa wakati as their football executive.

Sisi timu yetu ina mtu (Ed Woodward) amehodhi mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ila hayatendei haki. He’s smart as corporate executive but dumb as football executive, amekua akitumia pesa nyingi sana bila matokeo mazuri kwa ssb ameegemea zaidi kufanya head hunting akiingia sokoni anatumia recommendations ambazo huwa ni second tier kwa makocha wengi hasa hasa unapozima moto, ila njia hii ina faida kwa timu financially maana hufuatwa mtu ambaye hufahamika na ana jina. Best option kwa makocha wengi hujenga timu imara kwa kuwapa special requirements kwa scout team wao kuwatafutia watu wenye sifa wanazohitaji ili kuendana na mfumo wake kwa wakati husika sasa.

Ed hufanya madudu sokoni muda ambao makocha waki-file recommendations zao kwake yeye hu-prefer head hunting ambayo haifanyi kwa wakati mfano mzuri Jose Mourinho alimhitaji Harry Maguire yeye akamleta msimu unafuata na kwa gharama kubwa kuliko bei yake ya awali msimu mmoja nyuma maana yake hapa unampa kocha excuse za kutokufika targets. (Expensive Approach but worthy if it’s executed timely)

Mwisho, Njia ya kujenga timu imara kimkakati hii hufanyika zaidi na scouts ambapo football executive mzuri huchukua recommendations za technical team inayoongozwa na kocha mkuu na ku-forward hizo taarifa kama zilivyo to all head of scouts region-wise na wao hutafuta hivyo vipaji kulingana na sifa walizoweka bench la ufundi kwa wakati waliopangiwa ili kurudisha majina waliyoyaona haraka kwa benchi la ufundi ili wakae ku-review wanamchagua nani aje ktk mkakati wao. Upuuzi wa Ed huwa haingiagi full swing sokoni na hii njia ambayo ni njia nzuri sana kujenga timu taratibu with minimal media pressure na mnakua mnanunua wachezaji sahihi zaidi kwa mapendekezo ya benchi la ufundi. Hii njia imetumika sana na Liverpool kwa misimu hii mitatu mfululizo. (Economical Approach with effective strategy execution)
 
Kaka umetema sana madini salute kwako mzee

Sio man U tu ligi nzima ya uingereza hakuna kama Martial linapokuja suala la conversion rate, mara chache sana awe kwenye nafasi ya kufunga akose.

Msimu uliopita alifunga goli 10 kwenye mashuti 39 tu, best record kwenye ligi

Hapa tunaongelea Lukaku kuchezeshwa central striker, na nimekwambia hiyo case ya kuchezeshwa pembeni kwenye game ya Brazil ilikuwa ni tactic mahususi kulingana na mechi hiyo, lakini kwa kawaida Lukaku mechi zote anaanzia kati. Sasa wewe kuchezeshwa mechi moja ndio unataka kutuaminisha kuwa mechi za Ubelgiji Lukaku huwa anatokea pembeni

Tuma na mechi za Belgium dhidi ya England, Tunisia na Panama. Lukaku namba anayocheza Ubelgiji ni central striker na huwa hatokei pembeni. Case ya mechi moja isikufanye u generalise
Hata mfumo wa ole 4-3-3 wa kulia na kushoto ni mastriker kitaalamu wanaitwa inside forward, greenwood anatokea kulia na ni striker. Hakuna tofauti yoyote na hio ya ubelgiji na ole mwenyewe amelisema kwa mdomo wake.

Hata beckham alivyoondoka kabla ya Ronaldo kuanza 1st team ole alipelekwa pembeni na kuwa support ya Rvn, so is suarez kwa sturidge, lacazete kwa Auba, etc ni jambo common sana kwenye mpira.

Na ukitaka full match ya brazil na ubelgiji pia naweza kukuekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukaku never submit transfer request, weka source mzee hapa. Kilichopo ni ni kwamba aliongea kocha baada ya kuona hayupo kwenye mipango ya kocha na kuona sehemu nyingine anaweza kuthaminiwa

Maana inaonekana wewe una information za ndani ndani embu tuwekee source hapa hapa tuone article inayosema hivyo
Mkuu mimi ni mmoja wa wadau humu wakati watu wanatake side ya pogba na kumponda mourinho nilikuwa upande wa kocha, na nilitaka kipindi kile kile wakiondoka waondoke wote, kama ole hamtaki pogba ataondoka, kama pogba hataki man U ataondoka vile vile, ila mambo mengi ambayo yanasemwa juu ya huyu jamaa ni uzushi, mchezaji pia kaka yake kusema ana dream ya kucheza spain ni jambo baya? As long as ana mkataba na ni proffesional akautii huo mkataba kuna ubaya gani?

Pogba huyu huyu december amecheza mechi mbili sijui tatu hali ya kuwa ni majeruhi na maumivu, pogba huyu huyu halalamiki akichezeshwa out of position, jamaa muda wote amekuwa proffesional.

Na kuhusu huyo lukaku mkuu ame submit official kwa wahusika kwamba anataka kuondoka mwezi wa 3 na amekubaliwa as a proffesional alitakiwa kutii mkataba wake, lakini kitendo cha kujibizana na man u na kutoa siri za mazoezini kinaonyesha jinsi alivyo insecure, na according to luke shaw ole aliwaambia wakimbie taratibu hivyo hata zile data alizovujisha amedanganya kwamba yeye ni fast player.

Hii mada ya lukaku iishe hapa mkuu ila naomba hii comment iwe reference tuone inter itaishia vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi mno timu yetu kusajili mtu (Bruno Fernandes) mwenye kipaji na uwezo mkubwa japokuwa sio mara kwanza kuleta watu wenye vipaji sawa na yeye au kumzidi kuanzia Angel Di Maria mpaka Paul Pogba na wote hawa wamefanya chini ya matarajio.

Kusema kweli matatizo yetu sisi sio wachezaji wala benchi la ufundi pekee ni zaidi ya hapa. Mtu mwenye jukumu la kuunganisha hizi talents ndo mbovu, maana yangu hapa ni kwamba ukiwa na mtu makini ktk hii nafasi anaweza kuajiri kocha hata mwenye uwezo wa kawaida ila akampa nyenzo za msingi anazozihitaji kwa wakati pasipo hata kutumia pesa nyingi. Unakua unafanya kazi ya usimamizi wa timu hususani on football decisions depending on technical team template, wao ndio watakuambia wanamtaka nani na kwa wakati gani ili kuweka targets zinazofika baada ya kuwapa kila nyenzo wanayohitaji kwa wakati as their football executive.

Sisi timu yetu ina mtu (Ed Woodward) amehodhi mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ila hayatendei haki. He’s smart as corporate executive but dumb as football executive, amekua akitumia pesa nyingi sana bila matokeo mazuri kwa ssb ameegemea zaidi kufanya head hunting akiingia sokoni anatumia recommendations ambazo huwa ni second tier kwa makocha wengi hasa hasa unapozima moto, ila njia hii ina faida kwa timu financially maana hufuatwa mtu ambaye hufahamika na ana jina. Best option kwa makocha wengi hujenga timu imara kwa kuwapa special requirements kwa scout team wao kuwatafutia watu wenye sifa wanazohitaji ili kuendana na mfumo wake kwa wakati husika sasa.

Ed hufanya madudu sokoni muda ambao makocha waki-file recommendations zao kwake yeye hu-prefer head hunting ambayo haifanyi kwa wakati mfano mzuri Jose Mourinho alimhitaji Harry Maguire yeye akamleta msimu unafuata na kwa gharama kubwa kuliko bei yake ya awali msimu mmoja nyuma maana yake hapa unampa kocha excuse za kutokufika targets. (Expensive Approach but worthy if it’s executed timely)

Mwisho, Njia ya kujenga timu imara kimkakati hii hufanyika zaidi na scouts ambapo football executive mzuri huchukua recommendations za technical team inayoongozwa na kocha mkuu na ku-forward hizo taarifa kama zilivyo to all head of scouts region-wise na wao hutafuta hivyo vipaji kulingana na sifa walizoweka bench la ufundi kwa wakati waliopangiwa ili kurudisha majina waliyoyaona haraka kwa benchi la ufundi ili wakae ku-review wanamchagua nani aje ktk mkakati wao. Upuuzi wa Ed huwa haingiagi full swing sokoni na hii njia ambayo ni njia nzuri sana kujenga timu taratibu with minimal media pressure na mnakua mnanunua wachezaji sahihi zaidi kwa mapendekezo ya benchi la ufundi. Hii njia imetumika sana na Liverpool kwa misimu hii mitatu mfululizo. (Economical Approach with effective strategy execution)
Mi naposomaga baadhi ya post, huwa naenda mbele na kuangalia mental framwork ya muandishi. hii huwa inanifanyaga nijiulize kama tuna watu wa namna hii tunakosea wapi watanzania??
 
Lukaku never submit transfer request, weka source mzee hapa. Kilichopo ni ni kwamba aliongea kocha baada ya kuona hayupo kwenye mipango ya kocha na kuona sehemu nyingine anaweza kuthaminiwa

Maana inaonekana wewe una information za ndani ndani embu tuwekee source hapa hapa tuone article inayosema hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku alimisbehave sana dakika zake za mwisho man u mkuu, fuatilia ugomvi wake wa Luke Shaw.
 
Hata ole siku aliomchezesha lukaku pembeni(dhidi ya Arsenal) ilikuwa ni tactical twist, si kwamba siku zote alikuwa akimchezesha pembeni. Mfano mechi ya psg lukaku alikuwa mbele.
Hapa hakuongelea ishu ya game moja, ina maana walikaa wakajadili mustakhabali wake klabuni, kocha ndio akamwambia kwamba amepanga kumchezesha pembeni.

Haya mahojiano hayakuwa ya kujadili ishu ya mechi moja ya Arsenal , yalikuwa ni kujadili mustakhabali wa Lukaku ndani ya klabu.

Ina maana mkuu huwa huangalii mechi kubwa tu za United au? Kwani Lukaku alichezeshwa pembeni game ya Arsenal tu, au wewe unaangaliaga big mechi tu za United? OGS alivyoanza kazi na alipoanza kumtumia Lukaku alikuwa anachezesha pembeni, hata mechi ya West Ham, bahati mbaya inaonekana wewe huwa unaangalia big mechi tu za United
Screenshot_20200131_082905_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukaku never submit transfer request, weka source mzee hapa. Kilichopo ni ni kwamba aliongea kocha baada ya kuona hayupo kwenye mipango ya kocha na kuona sehemu nyingine anaweza kuthaminiwa

Maana inaonekana wewe una information za ndani ndani embu tuwekee source hapa hapa tuone article inayosema hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
"Solskjaer has my eternal respect," said Lukaku.

"He understood me when I said in March that it was time for me to leave.

"I had been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26. Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.

Tafsiri isio rasmi paragraph ya pili amesema alinielewa pale nilipomwambia mwezi wa tatu kuwa muda umefika wa mimi kuondoka.

Umebugi Mkuu, kwenye one on one Martial anafunga sana

Martial shida yake sio fighter, na ni aina ya matriker wale wanataka kufunga perfect goals..... Martial hawezi fungia tako, hataki kufungia dochi, hayupo tayari kufungia tumbo

Anapenda kufunga magoli flani hivi, nadhani nimeeleweka

Kwa hiyo akipikiwa vizuri atafunga sana

Kinachonipa moyo kuhusu ujio wa BF ni kwamba, mabeki wakikaa vibaya, anapiga mwenyewe na kwa asilimia kubwa yupo on target
MATIAL alicho mnong'oneza BRUNO kwenye mazoezi:-

Karibu sana kaka, ila naomba jambo moja kwako, kwa kweli sijui nakosea wapi, sometime mguu wangu unaenda kombo, nabaki na goal napaisha, muda mwingine nabaki na kipa nambabua.

Kaka naomba usiwe unanipa pasi za kumalizia mpira wavuni nitaaibika kukosa magoli, naomba unipe pasi na mimi nikokote kidogo nipige chenga, bora nilaumiwe kupoteza mpira kwenye chenga kuliko kukosa goal la wazi.

Naomba pass za mwisho nyingi mpe Rashford. Nipe pass ya mwisho pale umehakikisha kipa ametoka golini. Nakuahidi kaka nitakupa 10% ya mshahara wangu. Nifichie siri kaka. Ahsante Bruno.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba's Agent: Pogba want to move on, every one at the club knows that, from the manager to the owner (source BBC)

Hii ilikuwa siku kadhaa baada ya Pogba kusema it could be a good time to have new challenge somewhere else (halafu wewe unatuambia eti ni uzushi wa magazeti, na taarifa unazotoa wewe sio uzushi wa magazeti )

Na hapa Pogba hata hajaondoka, akiondoka ndio tutasikia mengi zaidi

Na hii nafikiri ni transfer request (kwa tafsiri yako)

Ninachofahamu mimi transfer request zenye uzito ni zile written, kama alichofanya Payet kwa West Ham mwaka uleee
"Solskjaer has my eternal respect," said Lukaku.

"He understood me when I said in March that it was time for me to leave.

"I had been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26. Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.

Tafsiri isio rasmi paragraph ya pili amesema alinielewa pale nilipomwambia mwezi wa tatu kuwa muda umefika wa mimi kuondoka.

Screenshot_20200131_211400_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20200131_212103_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20200131_212130_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna timu iliyosubmit reasonable bid. Hata mi nlitaman aondoke ila sio kwa bei rahisi....Ndio mchezaji pekee creative tulio nae kwenye timu pamoja kwamba ana ukike mwingi.
Pogba's Agent: Pogba want to move on, every one at the club knows that, from the manager to the owner (source BBC)

Hii ilikuwa siku kadhaa baada ya Pogba kusema it could be a good time to have new challenge somewhere else (halafu wewe unatuambia eti ni uzushi wa magazeti, na taarifa unazotoa wewe sio uzushi wa magazeti )

Na hapa Pogba hata hajaondoka, akiondoka ndio tutasikia mengi zaidi

Na hii nafikiri ni transfer request (kwa tafsiri yako)

Ninachofahamu mimi transfer request zenye uzito ni zile written, kama alichofanya Payet kwa West Ham mwaka uleeeView attachment 1342542View attachment 1342545View attachment 1342546

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tunaongelea Lukaku kuchezeshwa central striker, na nimekwambia hiyo case ya kuchezeshwa pembeni kwenye game ya Brazil ilikuwa ni tactic mahususi kulingana na mechi hiyo, lakini kwa kawaida Lukaku mechi zote anaanzia kati. Sasa wewe kuchezeshwa mechi moja ndio unataka kutuaminisha kuwa mechi za Ubelgiji Lukaku huwa anatokea pembeni

Tuma na mechi za Belgium dhidi ya England, Tunisia na Panama. Lukaku namba anayocheza Ubelgiji ni central striker na huwa hatokei pembeni. Case ya mechi moja isikufanye u generalise

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu comment yako imenifanya niingie machimbpo zaidi

1. lukaku ametumiwa rw akiwa west brom mfano wa mechi ni kama awb s westham

2. martinez ameshamtumia sana everton kama winga wa kulia, mfano wa mechi ni kama
-vs man city
lukaku 1.PNG

vs liverpool
lukaku 2.PNG

3. hata akiwa chelsea ameshatumika kama Rw
lukaku 3.PNG

haishii hapo tu huyu jamaa hadi lw alikuwa akichezeshwa
lukaku 4.PNG

lukaku 5.PNG

ulimsikia huku akisubmit transfer request kwa kuchezeshwa toka kulia ama kushoto?
 
Back
Top Bottom