Updates za Bruno

Sporting Lisbon wameondoa picha yake ktk twiteer cover
Screenshot_20200121-042515.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jude Bellingham, United target

Kijana wa miaka 16, kutoka academy ya Birmingham City na kwa sasa ni tegemeo kwenye midfield ya timu ya Birmingham City inayocheza Championship

Bellingham amekuwa akifuatiliwa sio tu na United bali na Arsenal, Liverpool, Barca na timu nyingine Ulaya

Sifa kubwa za Bellingham ni ukabaji, ku dribble mpira, kutoa pasi za mwisho na kufunga magoli, kwa ufupi huyu dogo ni box to box midfielder

Inakisiwa thamani ya kijana huyo wa kiingereza ni £25m na United wapo tayari kumnunua na kumrudisha kwa mkopo pale Birmingham City mpaka msimu utakapokwisha

Jude Bellingham, kumbuka hili jina. One for the future.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates za Bruno

Sporting Lisbon wameondoa picha yake ktk twiteer coverView attachment 1329071

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa unasemaje
 
Ni kweli hicho kiasi ni kikubwa sana kwa umri wake, mwanzo walikuwa wanasema ni £12.5m sasa nimeona kwenye Sky wanadai thamani yake ni £25m

Uingereza unachangia Mkuu, ni risk kubwa sana ila kwa kijana wa umri huo kuwa first eleven kwenye timu inayocheza Championship moja kati ya ligi ngumu inaonesha ana kipaji kikubwa

By the way usajili huwa ni risk, japo ni vyema kupunguza risk kwa kadiri iwezekanavyo
dah hiyo fedha mbona ni nyingi mno au kwa sababu ni muingereza?
halafu vipaji vya kiingereza vinakuwa havina utofauti na betting...
angalau ingelikuwa paundi millioni 5 - 7.
unamkumbuka nick powell?

View attachment 1328944

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unasemaje
Lakini hii habari ni ya mwaka jana sio ya mwaka huu!!

Ila ningekua Ole wala nisingehaika na akina bruno...

Kamata Gomez, Garner na kuna yule kiungo wa under 23 mwenye manywele marefu flani hivi!!

Hawa ningehakikisha wanapanda first eleven na msimu ndio ningewatumia ipasavyo!!
 
Mejbri hope nimepatia jina bado mdogo mkuu ana only 16 now, ni risk kubwa.... Ila nakosa yote yametokea Ole ile pesa yake Lukaku alitaka awafurahishe wakubwa wake alafu akajisifia kuwa kutonunua striker kungefanya njia ya mason kuwa ngumu sahizi anatapa tapa amtumie huyo mason tuone.....

Kijamaa kinaunafiki mkubwa sana hata hao wa accademy nahofia watashindwa kuimprove chini ya ole ukiangalia mason na Brandon ile ni natural talents ole hana mchango wowote zaidi wakizingua anawafanyia sub....

Asitusumbue sahizi eti anataka striker kwa mkopo hilo ni la kwake si alimuuza lukaku sisi tunahitaji ushindi mambo ya DNA anayajua mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Solskjaer on Woodward
Man Utd v Burnley (Wed, 20:15 GMT)
7dfcdb15-bfb5-45df-8083-07abb41547e7.jpg

Manchester United
Ole Gunnar Solskjaer was also asked about comments by Gary Neville, who was heavily criticial of Ed Woodward and the club's recruitment.
"For me now, we've lost to Liverpool, a team you all say are fantastic and we've been in the game until the last kick of the ball," said Solskjaer.
"Of course we're disappointed losing the game, we don't want to be behind them in the league but there were signs that we are on the right track.
"Now is not the time to speak about recruitment. We're looking to Burnley. We're always looking to improve the squad and the club but now is not the time on Gary and the discussion.
"You can look back at history and of course we know we are not where we want to be, should be and historically have been, it's just down to us now to work better.
"I've been here 13 months, my experience with the players we've brought in has been good so no complaints whatsoever."
 
John Rushton: Haaland looks amazing, wish him well at Dortmund. He didn't slip through Man United's transfer net. He wanted to sign for a Champions League team pushing for honours, not a mid-table Premier League side pushing for Europa League qualification.

Ahh akutukanae akuchagulii tusi lakini wanayataka wenyewe kina Graezer na ED na huyo kocha wao OGS
 
Mimi wa madongo huku kijijininiliona timu haiwezi hata kupiga pasi 3 kwa usahihi alafu ole anasema "but there were signs that we are on the right track" hivi ule utumbo tuliocheza na liver Kweli ndio right track?? mimi sijui nihamie mchezo gani naona kabisa hili litimu lishakufa hakuna matumaini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
John Rushton: Haaland looks amazing, wish him well at Dortmund. He didn't slip through Man United's transfer net. He wanted to sign for a Champions League team pushing for honours, not a mid-table Premier League side pushing for Europa League qualification.

Ahh akutukanae akuchagulii tusi lakini wanayataka wenyewe kina Graezer na ED na huyo kocha wao OGS
Safi comment nzuri... Hii timu inakera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom