Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena Liverpool haina lolote, wanaoona walitupelekesha wananonngwa.
 
huyo paul pogba amecheza mechi ngapi msimu huu?

nyakati tunafungwa na crystal palace, west ham, newcastle na timu nyenginezo marcus rashford na scott mctominay pia walikuwa ni majeruhi?

kwa nini hatupendi kuongea ukweli ya kwamba liverpool wanazidi kuwa bora kadri muda unavyosogea.

kwenye mechi 22 walichocheza, liverpool wamepoteza alama 2 tu.

hicho kipindi cha mpito kitakwisha lini kwa hizo timu kubwa?

hizo timu kubwa zitakapokuwa zinajiimarisha tena kwa kufanya usajili je hao liverpool watakuwa wamefungiwa kufanya usajili?
Hakuna anayepinga ubora wa Liver ila nimeonyesha ni kipi kinamfanya aonekane ni bora zaidi ya uhalisia ulivyo, na siyo kwamba nimesema hizo timu nyingine zikiimarika ndio liver atakuwa dhaifu, hapana ila ndio ushindani linganifu utapatikana vizuri, nimezungumzia wachezaji hao kwa machi ya jana dhidi ya Liver!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona una kichwa kizito sana cha kuelewa mambo

Unaposema Klop amefundisha miaka 5 una maanisha kuwa kazi ya ukocha ameianzia pale Liverpool Uingereza? Klop carrier ya ukocha hakuanzia Liverpool, ameshashusha daraja sana timu huko Ujerumani

Nimeamini kuwa mpira umeanza kujua juzi juzi, unasema eti SAF amefundisha timu moja pekee, hakutaka kutoka kwenye comfort zone

Nimeshasema kuwa SAF wakati anachukua timu ilikuwa na hali mbaya (ilikuwa ya 19 kwenye msimamo wa ligi) sasa hiyo comfort zone unayoiongelea ni ipi? na hata baadae ilipokuwa ni comfort zone, si ni yeye ndio alifanya kuwa comfort zone. Kipindi SAF anachukua timu, ina makombe 7 tu vya Ligi Kuu Uingereza na Liverpool ana makombe 18 (ambapo mpaka leo hawajaongeza hata moja). Kabla ya SAF kuchukua kombe miaka ya 1990 United walikuwa hawajachukua kombe tangu miaka ya 1960, leo uje ufananishe na mshusha timu madaraja

Tu assume kukaa Man Utd ni comfort zone, mbona waliokuja wameshindwa kuwa comfortable kwenye hiyo comfort zone, kama yeye alivyo maintain kwa miaka yote ya Utawala wake? Muulize Moyes, LVG, Jose kama Manchester United ni comfort zone

Nimefahamu kuwa wewe umeanza kujua mpira jana, unasema eti timu ni 2 mbili ndio zilikuwa zimeshika Utawala wa uingereza, na ningekuuliza ungetaja United na Liverpool kitu ambacho sicho,kiufupi HUJUI unachoandika na ndio maana hapa nitakuelimisha kwa mara ya mwisho.

Wakati SAF anaingia kwenye game pale Uingereza kwa miaka hiyo timu zilizokuwa zinachukua sana makombe zilikuwa ni Aston Villa, Everton , Liverpool, Leeds n.k. Sasa Unaposema ni mbili zilizokuwa zimeshika ligi sijui una maana gani, maana miaka ya 1990 hadi Blackburn ilikuwa ya moto

Halafu kukaa timu moja sio weakness, ni strength kijana, unadhani kuna ma meneja wangapi wanaweza kukaa timu moja muda mrefu kiasi hicho, timu itakaa na wewe muda mrefu sio kwa sababu inapenda sura ya kocha bali delverly. SAF ame deliver miaka yote hiyo ndio maana amefundisha miaka yote hiyo

Mwisho narudia kukuelewesha kuwa, kumfananisha SAF na huyo Klop ni uchizi uliotukuka, maana hapo unaongelea mbigu na ardhi au White House na Magogoni House

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaa mjinga kweli aisee, hapa tulikua tunaongelea mambo ya liver na utd, labda kama umesahau mjadala ulipoanzia kule juu


hakuna mtu ameongelea carrier zao kabla ya liver au utd, tunaongelea mambo ya epl hapa na sio scotland au ujerumani.....


next time jifunze kufocus kwenye mjadala usianze kuleta vitu vya kutoka nje...... huo u sir hakupewa kwa kufundisha scotland na wala legacy yake kubwa aliyonayo leo hajaipata scotland....... JIFUNZE FOCUS KWENYE MADA!


i'm off,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo paul pogba amecheza mechi ngapi msimu huu?

nyakati tunafungwa na crystal palace, west ham, newcastle na timu nyenginezo marcus rashford na scott mctominay pia walikuwa ni majeruhi?

kwa nini hatupendi kuongea ukweli ya kwamba liverpool wanazidi kuwa bora kadri muda unavyosogea.

kwenye mechi 22 walichocheza, liverpool wamepoteza alama 2 tu.

hicho kipindi cha mpito kitakwisha lini kwa hizo timu kubwa?

hizo timu kubwa zitakapokuwa zinajiimarisha tena kwa kufanya usajili je hao liverpool watakuwa wamefungiwa kufanya usajili?
Wanazidi kuqa bora kwenye dimensions zipi? Kwa nini mnataka kuipaisha timu ambayo inafungika? Inadraw? Inakabika, unaweza ukapata chances za kupiga mashuti? Unaweza pia kuingia kwenye 18 na ukavuruga? Jana nikiwa kibanda umiza, mashabiki walikuwa wanashangilia wakiona liver ikiwa na possion United ikiwa inaposses wanakaa kimya nikaona unasema utoa comment. Huu ni ushabiki wa simba na yanga. Ulaya hakuna hiyo
 
Hakuna anayepinga ubora wa Liver ila nimeonyesha ni kipi kinamfanya aonekane ni bora zaidi ya uhalisia ulivyo, na siyo kwamba nimesema hizo timu nyingine zikiimarika ndio liver atakuwa dhaifu, hapana ila ndio ushindani linganifu utapatikana vizuri, nimezungumzia wachezaji hao kwa machi ya jana dhidi ya Liver!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwaio man city alipochukua ubingwa msimu juzi kwa points 100 timu zingine zilikua kwenye mapito sio.....? hayo mapito hayaishi?


ukweli ni kuwa city msimu juzi na msimu jana walikua bora zaidi kuliko timu zote epl, na liver msimu jana alikua second best ila msimu huu ndio best...... hakuna cha timu kuwa kwenye mpito!


labda uniambie ulaya nzima timu ziko kwenye kipindi cha mpito, maana hata uefa wameenda final back to back...... simple they are the best right now!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Garry Neville katema nyongo
Screenshot_20200120-164234.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United wanaangalia uwezekano wa kusajili striker

Baada kugundua kuwa Rashford anaweza kuwa nje kwa miezi kati ya 2 na 3, Manchester United wanaangalia uwezekano wa kusajili striker ili aje aongeze nguvu. Akiongea na vyombo vya Habari OGS amesema klabu inaangalia uwezekano wa kupata mchezaji wa nafasi hiyo kwa mkopo

Taarifa nyingine (sky&MEN) zinadai kuwa baada ya wachezaji wengi kuumbwa na majeruhi na Youngy kuondoka man United inaangalia uwezekano wa kupandisha wachezaji kutoka kwenye timu ya U23. Wachezaji wanaotajwa kuwa wanaweza kupandishwa ni Mellor (forward), Largie Ramazan (winger/forward), Ethan Laird (full back) na Hannibal Mejibri (kiungo)



Sent using Jamii Forums mobile app
Mello anaenda kufanya nini kule?
JamiiForums atamwachia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazidi kuqa bora kwenye dimensions zipi? Kwa nini mnataka kuipaisha timu ambayo inafungika? Inadraw? Inakabika, unaweza ukapata chances za kupiga mashuti? Unaweza pia kuingia kwenye 18 na ukavuruga? Jana nikiwa kibanda umiza, mashabiki walikuwa wanashangilia wakiona liver ikiwa na possion United ikiwa inaposses wanakaa kimya nikaona unasema utoa comment. Huu ni ushabiki wa simba na yanga. Ulaya hakuna hiyo
kuna timu haifungiki.....? hairuhusu wapinzani kufika kwenye box? mkuu unachotaka kusema hapa ni kwamba timu bora huwa hairuhusu wapinzani wafanye lolote!....


city wakati anafikisha point 100 alipigwa na utd pale etihad 3-2, hakua bora? barca ya pep haikuwahi kumaliza msimu unbeaten, haikua bora?.......




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri huelewi maana ya Derby.
Ukiachilia kwamba Man Utd na Liverpool wana history, Liverpool msimu huu pamoja na kwamba ameweka gape kubwa lakini hajiamini kwa timu yoyote ile kwa sababu anataka kushinda mechi zote.

Kwa hiyo kutoa droo inaumiza. Ndiyo maana walishangilia sana kupata 3 points kwa sababu mwanzo mlikaza.
Kwa hiyo unadhani hatuna marinda?
 
Huna lolote pimbi kichwani. Ukiwa na akili usiombee ukiwa mfupi kwa sabb zikiwa karibu unyeo lazima utaingea ushuz kamabunaoleta hapa as if unakili sana duniani. Nyie ndio unataka Liverpool iitwe timu ya dunia, wapuuzi sana. Wewe sio kwamba huna focus tu upumbavu
matusi tena?..... ushabiki wa hivyo sinaga!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna timu haifungiki.....? hairuhusu wapinzani kufika kwenye box? mkuu unachotaka kusema hapa ni kwamba timu bora huwa hairuhusu wapinzani wafanye lolote!....


city wakati anafikisha point 100 alipigwa na utd pale etihad 3-2, hakua bora? barca ya pep haikuwahi kumaliza msimu unbeaten, haikua bora?.......




Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda kutoa historia ambazo hamzijui, European football isn't nightmare wabongo wengi tunavyoishi , mnapenda kurefer kutoa vitheory uchwara. Elewa nilivyokuambia.

Liverpool mbele ilikuwa na wachezaji wake nyota, jana ilicheza kwa uhuru 100 percent? No ilidunga ngapi? 01. Kwa nini una access kama hujawahi kuona dudu?
 
wewe ndio huelewi hata unachoongea...... huyo babu wako vikombe vyote hivyo alivichukua akiwa utd ndani ya miaka 25....... 25 YEARS mfululizo kwenye timu moja!.....


ni upuuzi kuanza kumfananisha Klop mwenye miaka pungufu ya 5, na mtu aliekaa miaka 25, na hio cycle uliyoonesha hata babu yako angeweza kupitia kama angeondoka utd (his comfort zone)!.......…


alafu pia ni upuuzi mkubwa kuanza kulinganisha mtu aliefundisha kukiwa na timu 2 tu zenye ushindani ndani ya ligi na mtu anaefundisha kukiwa na timu 6 zenye ushindani..... hakua mjinga kuachia kiti maana alijua timu nyingi zinaanza kuwa bora!.....


lastly, usirudie tena kuleta ulinganisho wa aina hii, atleast linganisha vitu toka generation moja..... ukitaka kuleta vya zaman basi anzia na kina bob huko ndio wanafanana

Sent using Jamii Forums mobile app
Epl ya sasa.

Klopp atachemsha kama guardiola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumpate Bruno na boubakary. Halafu uje tena hapa. Itakuwa ni timu ya watu wenye umri unaokaribiana. Pogba akae pembeni.

Utaona kila unachopenda United.

Liver kwa man utd is an everage team. United imevurugwa na makocha moyes, VG morinnho na wote ni makocha wazuri. Philosophy ya utd ndio inayoshinda sio kocha kichwa. Ukija na falsafa za liver pool, sijui nn unaanguka. Katika hilo unaangalia viungo wanavyocheza, na watoto waliotokea academy wanakupa ile flavour ya utd. 0 extra or injured minutes you are fuc.ked. Liverpool knows it
 
Ukiandika sentence ikague,kama ni safi. Haya ndio matusi yenu vibandani. Washabiki wanaoichukia Manchester United wanatutukana sana vibandani. Ni bira niende hotel kuliko kuangalia mechi na watu nyie. Mnakera.
mkuu upo mtandaoni, hujui unaongea na nani, sidhan kama ni vema kumtukana mtu ambaye hajakutusi wala hajaandika tusi katika sentensi zake zote!.........


matusi ya vibanda umiza sidhan kama ni sahihi kuyahamishia huku, maana sio wote wanaongea matusi waliopo humu......

either way, jitahidi uushinde ubaya kwa wema! mtu akikutusi tabasamu kisha endelea na mambo yako, haikupunguzii kitu... huo ndio mtazamo wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom