Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halafu kuna watu wanaona sawa hata tusipopata striker

Sent using Jamii Forums mobile app
huo mpira kabla haujafika kwa huyo striker inapendeza zaidi kama utaanzia kutengenezwa nyuma.
timu zote zinazocheza mfumo wa 3-5-2 zinafaidika zaidi na huduma ya wingback.
rejea juventus ya antonio conte na massimiliano allegri na hata chelsea ya conte.

hao wingback wetu umewaona brother?
muda wote wapo nyuma hata kama hawajabanwa na maadui halafu tutegemee maajabu ya antonio martial?
sometimes tunawaonea bure hawa striker wetu.
 
Kuna pimbi mmoja humu alikuwa anasema Liverpool inabebwa na VAR nitakuja kufukua utumbo wake baadae
 
Timu ni mbovu sana eneo la kiungo upande wa ushambuliaji hamna shida mech ya leo ni kiungo gan atawalisha wakina martial mipira? Timu inaweza kushinda mech bila hata ya washambuliaji kama vile manchester city
Yaani tunachomis ni viungo/kiungo mbunifu wa kupiga dangerous pass kwa kina Martial, Liverpool wa kawaida sana sielewi kwann wanaongoza ligi, nafikiri Sir Alex uko alipo anaweza fikiria kurudisha majeshi vitani (natamani Sir Alex arudi japo misimu mitatu tu)
Please Woodward izinisha usajiri wa viungo wawili wabunifu tu, then ndio tuanze kumlaumu huyu OGS
Leo endapo angekuwepo Pogba, Scot na Rashfod Liverpool wasingeamini kingechotekea
Martial kule mbele ana uchu sana ila mipira nadra kumfikia, mpaka namuonea huruma

Tunaitaji viungo wanyumburifu kama Schoses, kama Super Gigs

Hivi kina Glazer na Woodward hawaoni sisi tunachoona kweli?

Hii HT Ole amtoe Luke Shaw aingie fundi Juan Mata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom