kwani yeye alitafutwa na nani baada ya mou kufukuzwa..Unataka amwambia nani? Kwamba nahitaji kiungo?
Sent using simu mbovu
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
kwani yeye alitafutwa na nani baada ya mou kufukuzwa..Unataka amwambia nani? Kwamba nahitaji kiungo?
Sent using simu mbovu
Sawa nimekuelewa,kwani yeye alitafutwa na nani baada ya mou kufukuzwa..
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
Hope today is not April fool, right? Yani baada ya Kuwa Viongozi wa Manchester ambao wapo desperate wanahitaji mchezaji ndiyo waonekane viunga vya Ureno kuganya Negotiations, Imekuwa Viongozi wa Mchezaji ndiyo waonekane Manchester kumuuza mchezaji wao? Wacha nicheke tu ha ha ha.
Watu hawaelew hii hoja ya 'Ole Out' hlf kutwa kulalamika humu..
HahaAkiendoka lingard,young na jones tukipigwa tutamsingizia nani wakuuu?
AahhahahaKilichobaki ni kumpa mkataba wa muda mrefu huyu Solskjael hadi 2039, natumai ndani ya miaka 5 atakuwa ameshaijenga Manchester United na kurudi kwenye zile zama za kutesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudiger ni Maguire saba, Bissaka watano, phili Jones hamsini..


, jamaa ni kama mwanasiasa flaniYaani hapo wametufunga tu wamejizana humu kukejeri, je wangekua wanaongoza ligi kama liverpool sijui ingekuajeVishabiki vya asenane ni "vipuuzi" kabisa,kutwa nzima vipo humu kwenye uzi wetu vinaongea ujinga ujinga tu..nendeni kwenye uzi wenu
Mbona watu wa Liverpool wapo cool na wanatoa challange za kueleweka??,,nyie mnakuja na vistori vyenu vya kijingajinga na kutuharibia uzi wetu