Manchester United (Red Devils) | Special Thread

OGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself , jamaa ni kama mwanasiasa flani

My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?

OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema

Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mim nshampoteza imani na huyu kocha, kama kina woodward wanampenda sana wampe cheo cha Director of football

Sometym najiuliza kina woodward & co hawayaoni haya mapungufu au!

Pochetino kawa mkimya nafikiri anaangalia hatma ya OGS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself , jamaa ni kama mwanasiasa flani

My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?

OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema

Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekuwa interest ya Ole ni kubaki Man u na si kwa Faida ya man U angetumia short term fixes (Kama Mou) badala ya Mc Tominay sasa hivi tungekuwa na Watu kama Matuidi pale kati,

Na mkuu ukitoa bias hata Kidogo kocha kweli anaelinda kibarua na si kwa faida ya Timu atasajili mchezaji pekee wa kushambulia kama Daniel james ili amsaidie kulinda kibarua?
 
Nimefafanua kwenye Para ya 3 mkuu

Ndio maana nikasema anaogopa kusajili ili aendelee kuwa na visingizio mfano hapo tunamtetea kuwa jamaa kasajili DJ tu mbele kwahiyo tumpe muda

Hii technique inafanya kazi kweli

Kwa kikosi alichonacho OGS sio cha kuwa na points 31 baada ya mechi 21, hizi pointi kwa idadi hiyo ya mechi katika baadhi ya misimu tungekuwa wa 10, bahati tu msimu huu tunaofukuzana nao ni wachovu zaidi
Kama ingekuwa interest ya Ole ni kubaki Man u na si kwa Faida ya man U angetumia short term fixes (Kama Mou) badala ya Mc Tominay sasa hivi tungekuwa na Watu kama Matuidi pale kati,

Na mkuu ukitoa bias hata Kidogo kocha kweli anaelinda kibarua na si kwa faida ya Timu atasajili mchezaji pekee wa kushambulia kama Daniel james ili amsaidie kulinda kibarua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself , jamaa ni kama mwanasiasa flani

My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?

OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema

Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kichaka chake hicho cha kujificha..The team is Young, Success is not a oneday thing,mara Rebuilding,mara kurudisha Identity..mwishoni atakuja kufukuzwa kama mbwa,
 
Habari za Bruno zimeishia wapi? Maana nilitegemea wakati wowote jamaa atakuwa mali ya united.
Kati ya timu zilizokuwa zinatakiwa kuwa zimekamilisha sajili walau 2 baada ya dirisha dogo kufunguliwa ni man utd kulingana na mahitaji yake makubwa,lakini ndio kwanza nao wanashauriana.

Akisajiliwa Bruno na akatokea kufanya vizuri itakua aibu kubwa sana kwa Ole maana alimuacha kisa sio zao la united na hana DNA za uingereza,ni kama jamaa hajui anataka nini ili spate matokeo.
 
Tatizo la Ole hata hiyo building huoni kama angalau inafanyika. Timu haiwi bora kadiri siku zinavyoenda badala yake inarudi nyuma.

Manchester tafuteni kocha anayajua nini anataka kama yule wa Leeds. Hapa ndipo namkubali sana Guardiola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu sahizi haivutii mana hata akisajiliwa mchezaji Wa aina gani bado tunakuwa hatuna uhakika kama atatufaa au hatatufaa kutokana na uwezo Wa benchi la ufundi hasa mwalimu mkuu
Mimi tokea Emery alivyoshusha kiwango cha Torreira, naamini hata baadhi ya wachezaji wa Man waliopo kocha anachangia viwango vyao kushuka.

Kwani Leicester wana wachezaji gani, beki wao si John Evans?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Bruno zimeishia wapi? Maana nilitegemea wakati wowote jamaa atakuwa mali ya united.
Kati ya timu zilizokuwa zinatakiwa kuwa zimekamilisha sajili walau 2 baada ya dirisha dogo kufunguliwa ni man utd kulingana na mahitaji yake makubwa,lakini ndio kwanza nao wanashauriana.

Akisajiliwa Bruno na akatokea kufanya vizuri itakua aibu kubwa sana kwa Ole maana alimuacha kisa sio zao la united na hana DNA za uingereza,ni kama jamaa hajui anataka nini ili spate matokeo.
simon stone amesema pia tuna negotiate na bruno hivyo kuna credibility this time.

Na kitu gani kinakufanya useme ole alikuwa hamtaki bruno last time.

Mashabiki wa man U tumekuwa tu puppets wa media, asilimia 99 ya vitu vingi vinavyosemwa kuhusu Man U na media za vichochoroni ni fake news.

Juzi tu hapa Media kibao zimeandika Maguire kaumia mwezi mzima ama zaidi na kwenye press conference ole amekanusha kuwa ni uongo anaweza cheza hata mechi ya leo.
 
Lineup Vs Norwich

Maguire in,James on the bench
Screenshot_20200111-170847~2.jpeg
 
Back
Top Bottom