Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi player akiwa uwanjani akasikia maumivu, mwenye maamuzi ya kuendelea kucheza ni kocha au player mwenyewe.

Sent using simu mbovu
Kocha anayepanga kikosi anaweza kumtoa mchezaji wakati wowote akitaka ,kwenye case ya kuumia daktari wa timu ndio anamshauri kocha kuhusu kumpummzisha mchezaji
 
kubabake! Young anang'ang'aniwa... na yeye huku hataki
Screenshot_20200109-193819.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii timu imekuwa ya ovyo sana..Nani aliyetoa wazo la kumwongezea mkataba Ashley Young??..Bora tu hata amekataa
Mkuu unajua ashley young ndio most creative player man UTD kwa sasa?
6ru43sp1xe341.jpg

Pia ni senior amecheza since Saf, hapati majeruhi ovyo, ana nidhamu etc kifupi jamaa ni bonge la proffesional.

Luke shaw haaaminiki sasa hivi unasikia pancha miezi 9, ujue anabaki tu dogo william asie na uzoefu sana.

Nimeona Cameroon Borthwick jackson ameitwa kutoka kwenye mkopo pengine sababu ni hii. 0
 
Hizo stats hazina maana

Hawa wazee hawawezi wakatuimprove kivyovyote..mambo ya sijui ni proffesional hizo ni ngonjera tu

Tuingie sokoni tusajili watu..hiki kikundi cha wachezaji tulichonacho yeyote ambaye atasema hataki kubaki hakuna haja ya kumbakiza,isipokuwa wachezaji kadhaa tu

Tumejifanya sisi tunajua sana proffesionalism na ndo maana City kwenye miaka hii kumi wanatukimbiza tu kama watoto..Zabaleta, na wengine wengi tu waliondoshwa kwa kuona hakuna kipya wanachoweza kuoffer..
 
Ni kweli mkuu kunatakiwa usajili, ila mpaka waje kwanza hao wachezaji wapya, kikosi chetu sasa hivi ni chembamba sana, city wanamuacha zabaleta wana Danilo, Walker na dogo mwengine
 
Back
Top Bottom