Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uchezaji wake wa kutifua tifua chini kama limnyama la porini limekamatwa na mtego wa jangili

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_20200108_113813.jpg
IMG_20200108_120033.jpg
 
Football is all about tactics.

Jinsi Pep G alivyoweza kuzima counter attacks za OLE. Inaonyesha jinsi gani jamaa ni master tactician.

OLE hii kazi haiwezi, level zake ni under-23, huko ambako hakuna pressure.

Sent using simu mbovu
 
Inapoelekea timu kubwa zote zitatufunga huko mbele sababu washatusoma mchezo wetu kaanza Arsenal kaja Jirani City huko mbele vipigo tu. Inabidi huyu jamaa atafute mbinu ya kushinda mechi bila hizi counter zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapoelekea timu kubwa zote zitatufunga huko mbele sababu washatusoma mchezo wetu kaanza Arsenal kaja Jirani City huko mbele vipigo tu. Inabidi huyu jamaa atafute mbinu ya kushinda mechi bila hizi counter zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Man u ni counter attack , ukidhibit hizo ,umemaliza kazi
 
Yaani hii timu imekuwa ya ovyo sana..Nani aliyetoa wazo la kumwongezea mkataba Ashley Young??..Bora tu hata amekataa
OGS ndio anapendekeza nani aongezewe mkataba ,nani auzwe pamoja na kuchukiwa na mashabiki lakini Young ni mmoja ya wachezaji wanaojituma na kiongozi ndio maana makocha wote wamekuwa wanampa nafasi na Solskjaer alimpa u-nahodha kabisa na ni mara chache sana anakuwa majeruhi,OGS ameanza kujifunza makosa aliyofanya last season ya kutosajili replacement ya kina Fellaini na Herrera yanavyomtesa baada ya kuumia kwa Pogba na McTominay but unaposubiri mpaka mchezaji anakaribia kumaliza mkataba ndio uanze mazungumzo unakuwa umempa power kwenye negotiation ndio maana Woodward amewaongezea mikataba wachezaji ambao hawakustahili kuwepo United (Rojo,Jones,Young,Mata,Perreira) na ukweli kwa sasa timu yetu haina ushawishi kwa wachezaji kama miaka ya nyuma ndio maana hata Young anatuumiza kichwa
 
Back
Top Bottom