Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 855
- 1,481
James na Greenwood wote wanaanzia bench!!!! Nashangaa. Anyway wafanye biashara mapema basi.
Half Time: Maestro Juan Garcia Mata kaonyesha kwanin anatakiwa kuwa ktk 1st eleven
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawezekana kaumia, maana ameenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.OGS hataki Rashford atafute hat-trick
But is far better than LingardJamaa ni mzuri, lakini kinachomuumiza ni pace hana
Ukimpa muda (usipom press) atoe pasi lazima utajilaumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii penalt tungepewa Liverpool dah saizi kungekuwa na meltdown kwenye social media kutoka kwa ma snowflakes
Anapeleka mipira katika angle mbaya sana kwa nakupa.