Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Midfield ya Pereira, Lingard na Fred dhidi ya KDB, Rodri na Silva what do we expect, Fred ananyonywa

Nakumbuka OGS amerudia zaidi ya mara 3 kwamba I'm happy with the players I have, alipoulizwa kama anahisi alihitaji wachezaji zaidi kwenye kikosi chake, ndio maana huwa nasema OGS haepuki lawama

Hapo sijaongelea rigid tactics zake ambazo ni very predictable

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ya midfield yetu ningekuwa OGS, ningemwamisha Bissaka aende kati, awe na Fred na Matic

Halafu Dalot acheze namba 2

Halafu Pereira apande namba 10

Bila hivyo City wataendelea kututawala katikati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eee man yu mmeshikwa pabaya ,yale majigambo ya kuwa ninyi ni wababe wa big match yanaendelea?
 
Back
Top Bottom