No

Jones & Jesse waende kwa sababu ya uwezo wao

Young na Matic waende kwa sababu ya umri wao

Pereira na Shaw wawe squad player, siyo first teamers na wasipo improve 21/22 tumuondoe

Midfielder ujazo uongezeke, angalau 4 kama Pogba ataondoka

Striker angalau mmoja aongezwe

Tuanzebe ajitunze, naona dalili za kuwa injury prone
Na Jones abaki??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phil Jones is injured, Maguire is injured

Man Utd wanawaza kupata beki wa kati kwa mkopo

Wakati huo huo tunataka kumuuza Rojo dirisha dogo

Hivi inakuaje Jones anaumia kila baada ya mechi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Phil Jones is injured, Maguire is injured

Man Utd wanawaza kupata beki wa kati kwa mkopo

Wakati huo huo tunataka kumuuza Rojo dirisha dogo

Hivi inakuaje Jones anaumia kila baada ya mechi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Jones hata asipoumia, hakuna mchezaji pale. Kazi kurudisha mpira nyuma tu. Confidence imepungua sana. Wakati sosha anakuja alimwambia Fred kua ana tatizo la kurudisha mpira nyuma, Fred amejifunza sasa hivi ni pembeni au mbele, Jones sasa yani kila mechi anayocheza lazima acheze na kipa. Jamaa kama hana akili kabisa kichwani. Yule bora wamuuze tu huko Southampton walikomtoa. Dogo Axel aanze kama yupo fit anaujua sana, pia Rojo japokua pass zake hua hazieleweki ila anajua kukaba. Timbo nae ana kamwili kadogo CB hawezi kucheza, wampange akipige CDM awe kama CARRICK.
 
Edu amesema hawezi kutoa pesa ya usajili kwa sababu hamuelewi kocha atafikisha timu wapi. Anashauriana na body kuendelea kumuamini OGS wampe hela ya usajili au wamtimue watoe fungu la usajili kwa kocha ajaye.

Sosha anaonekana kama anakula mshahara bure tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa unamuongelea huyo japo useme EDU WA NYUMBU....maana unatustua kwani na sisi DoF wetu ni Edu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom