DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Maguire kaumia, ama?Jones ndani ya Nyumba,Martial on the Bench,Lingardinyo on that no10 role.Here we go



Jones ndani ya Nyumba,Martial on the Bench,Lingardinyo on that no10 role.Here we go
Mechi ya juzi ya FA first half aliumia badala ole amtoe nje,akamwacha aendelee nahisi ndo tatizo limezidia hapo..Maguire kaumia, ama?
Achelewi kuondoka na on goal au kuchoma penalt..hapa tubane tu makaghari


Jones na Victor wallahi i can't wait kuangalia hii combo. Sikuwa najisikia kuangalia hii mechi ila nahisi ina vituko sana acha nikaangalie tu nijionee miujiza ya ole bila kuhadithiwa Jones na Victor wallahi i can't wait kuangalia hii combo. Sikuwa najisikia kuangalia hii mechi ila nahisi ina vituko sana acha nikaangalie tu nijionee miujiza ya ole bila kuhadithiwa
Sent using Jamii Forums mobile app

Itakuwa full burudani

Achelewi kuondoka na on goal au kuchoma penalt..hapa tubane tu makaghari
Kabisa aseeItakuwa full burudani
Ile gemu ya ligi nilikuwa na kiimani flani kwamba tunaweza kufanya kitu,ila hii nimeamua tu niangalie burudani,whatever the result,mimi sina shida
Hahaha lugha tatizo jamaaMunacheza ndio nini na wewe, unaonekana mjanja lakini unaongea kama mkimbizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mimi siangaliiJones na Victor wallahi i can't wait kuangalia hii combo. Sikuwa najisikia kuangalia hii mechi ila nahisi ina vituko sana acha nikaangalie tu nijionee miujiza ya ole bila kuhadithiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa ukiangalia kikosi huwez kuamini kama ndio lile li timu tajir duniani wachezaj wa kuokoteza jina la timu na vilivyopo vitu viwili tofautJones ndani ya Nyumba,Martial on the Bench,Lingardinyo on that no10 role.Here we go
Tulisema hii..leo inatu-cost. Kikosi hakieleweki.HUYU KOCHA MZITO SANA KUFANYA SUB, MAGUIRE KAUMIA ANACHECHEMEA, MPAKA COMMENTETOR WANASEMA ATAUMIA ZAIDI NA ATAMISS MECHI ZIJAZO. AMPUMZISHE MAPEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mimi siangalii
Yaani mkuu tumepoteana kabisa hii sio United..nimeangalia hiki kikosi mara kadhaa,nikaishia kujisemea tusipokuwa makini tunaenda kuwa ac milanDaa ukiangalia kikosi huwez kuamini kama ndio lile li timu tajir duniani wachezaj wa kuokoteza jina la timu na vilivyopo vitu viwili tofaut
Ukweli usemwe solskjaer kajifichia kwenye kichaka cha madogo