Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Midfield ya Pereira, Lingard na Fred dhidi ya KDB, Rodri na Silva what do we expect, Fred ananyonywa

Nakumbuka OGS amerudia zaidi ya mara 3 kwamba I'm happy with the players I have, alipoulizwa kama anahisi alihitaji wachezaji zaidi kwenye kikosi chake, ndio maana huwa nasema OGS haepuki lawama

Hapo sijaongelea rigid tactics zake ambazo ni very predictable

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu timu imekua kubwa kumzidi na kinachotokea timu inazidi kupotea kadri siku zinavyoenda, namtabiria mwisho mwa msimu woordwad atampa bahasha ya asante kwa ushirikiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka yule babu anaitwa Harry Rednap ligi kabla haijaanza alifanya uchambuzi sky sport akapendekeza manchester united ifanye usajiri wa wachezaji saba kuziba mapungufu, na akaonya endapo Ogs hacposajiri idadi iyo tutakua na msimu mgumu sana, mim sikumuelewa kabsa yule babu, leo nakumbuka maneno yake

Wakati naandika hii text tunafungwa la pili, duuh
Tunaweza kula mkono hii game

Washabiki wa liverpool na asernal tuwaombe watufundishe mbinu za sisi fans wa utd ya kuwa wavumilivu, wao waliwezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umelazimishwa kushabikia achananayo mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom