Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata 10 who care?
Ila uzuri wa sisi japo timu yetu inavurunda lakini tupo hapa hapa ktk uzi wetu hatukimbii, ila nyie mkifungwa tu kwenye uzi wenu hamuonekani

Sent using Jamii Forums mobile app
Home and away lazima muhitaji kupunguza idadi ya magoli ndo maana sihitaji zifike 10.
Game ya marudiano kama zikiwa 6 mnarudisha tu.
Akikaa rashford ,matic,Martial de gea mtarudisha tu mi naikubali sana man yu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Caption please......
bestoffootball_20200107_225404.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungeanza na matic + martial mech ingekuwa poa sana lingard ni tatizo kubwa sana tena sana sijui huyu kocha ana akili gani

Gomes kacheza dakika chache sana lakin kafanya vitu vya maana sana yeye kaanzisha shambulizi lililozaa goli wakat lingard dakika 45 hakuna hata ku drible lingard ni kirusi kwenye hii timu sijui kwa nini anapata namba yaani hata mata hana maana mbele ya lingard???
 
Kipindi cha pili tumecheza vizuri, lakini imekuwa too late

Matic alipoingia na Lingard kutoka katikati tukapashika, kitu ninachojiuliza OGS haoni aibu kumpa nafasi Lingard kila mechi wakati kwa sasa namba 10 wetu bora ni Pereira?

Ukiacha stats za Lingard kutokufunga au kutoa assists amekuwa our best player in loosing possession katika mechi nyingi

Cha ajabu na kweli, Lingard next mechi atakuwepo tena first 11 na half time ataona hafai na kumfanyia sub

Fred was Man Utd man of the match na kiukweli wenzake hawamtendei haki katika kuisaidia timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA UMBUMBUMBU..INGIA KWENYE MITANDAO SEARCH TIMU KUBWA UTAPATA JIBU, HALAFU UANGALIE KAMA UTAIKUTA HIYO ARSENANE YAKO

Ukubwa wa nini we Nyumbu. Hivi ujui kikos chako nidhaifu hata kwa hao wolves, resistercity.....
 
Rashford bado ni shida kwa wale ma top 5 ni mchezaj wa mech kubwa aneendelea kuwapa shida.

Fred yupo vizur sana anamkosa scott pia hata nimeangalia wakiwa na matic bado wanacheza vizur ila akiwa na scott anakuwa vizur zaidi

Williams sina shida nae japo goli la pili aliteleza hapa Shaw atafute shughuli ya kufanya juz williams alicheza na adama traole alihimili fujo zake leo kapambana na mahrez na walker dogo hajapotea.

Nilifikir usajili wa maguire ulikuwa hovyo leo kaonesha umuhimu wake.

Sasa kuna

Scott
Rashford
Williams
Gomes

Mwanga ni mzur toka kwenye academy.
 
Kipindi cha pili tumecheza vizuri, lakini imekuwa too late

Matic alipoingia na Lingard kutoka katikati tukapashika, kitu ninachojiuliza OGS haoni aibu kumpa nafasi Lingard kila mechi wakati kwa sasa namba 10 wetu bora ni Pereira?

Ukiacha stats za Lingard kutokufunga au kutoa assists amekuwa our best player in loosing possession katika mechi nyingi

Cha ajabu na kweli, Lingard next mechi atakuwepo tena first 11 na half time ataona hafai na kumfanyia sub

Fred was Man Utd man of the match na kiukweli wenzake hawamtendei haki katika kuisaidia timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja kapenyezewa kwenye 18 ajabu kagonga kisigizo kurudisha kwetu wakat city anaongoza moja ile pasi alipewa na greenwood.
 
Back
Top Bottom