Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Wenye nyumba wamekimbia wamebaki wageniWenyewe wamekimbia nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye nyumba wamekimbia wamebaki wageniWenyewe wamekimbia nyumba
Hajaifunga arsenal tu la kuuuliza hili kwa rashfordIla mchezaji wa soka unafaa uwe mvumilivu aisee.....kati ya wachezaji wa man u ambao hawapaswi kulaumiwa msimu huu ni Rashford... Nadhani kawapa pointi za kutosha msimu huu... Eti mchezaji wa mechi kubwa kwan ana magoli mangapi alipocheza na timu kubwa msimu huu...?
Ana magoli 12 ya ligi....kashika pointi zenu nyingi... Hata gemu na timu ndogo anafunga... Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Hajaifunga arsenal tu la kuuuliza hili kwa rashford
Manchester tatizo huwa inashinda sehemu usiyotarajia.Sioni ni jinsi gani tunaweza kushinda hii gemu honestly..
Atleast angekuwepo McTominay,tungefanya kitu
Na Pep amekuwa akitupiga sana OT..
Let's wait and see saa tano nini kitatokea..
GGMU
Hivi scot ndo tegemeo lenu kwa sasaSioni ni jinsi gani tunaweza kushinda hii gemu honestly..
Atleast angekuwepo McTominay,tungefanya kitu
Na Pep amekuwa akitupiga sana OT..
Let's wait and see saa tano nini kitatokea..
GGMU
Sure..lakini winning this,itakuwa balaa
Kwenye eneo ya kiungo kwa kikosi chetu lazima tumtegemee Scot..Hivi scot ndo tegemeo lenu kwa sasa
Miezi 10 iliyopita sikutegemea kama kuna siku Scott akiumia tutamlilia awahi kupona.Kwenye eneo ya kiungo kwa kikosi chetu lazima tumtegemee Scot..
Hii mechi hatushindi.
Yeah Manchester huwa wanaturn kwenye big games, don't write them off.Sio rahisi kama unavyozani subili uone vijana leo watakavyotakata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kukaa kwenye majukwaa ya watu mpaka mkome
Mbona umekopi nusu? au ndio hulka ya uvivu wa kibongo?"Kuliko niwe kocha wa Man United bora nikafundishe timu ya taifa ya Maldives. Nikikosa ofa kabisa naenda zangu kula bata tu"
Pep Guardiola
Nyumbu shangazi yako.
Pamoja na kuongeza chumvi na wewe ukabeba kama ilivyo?Mkuu mbona unakuja juu ,shaffih ni man u fan , mimi nimeileta japo kaongeza chumvi