Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u anataka elp haya makombe ya panya wa maabara nani anayataka Gym gym utd
 
On Target -0
1578430129736.jpeg


"Ruzige"
 
Kipindi ambacho Guardiola yupo busy kutoa maelekezo, bwana OGS yeye kavunga zake jukwaani anakula upepo.

"Ruzige"
Sasa mbinu huna unasimama kufanya nini kaka bora akae tu.
Ni sawa siku ya pepa hukusoma kabisa halafu ujitahidi kukumbuka hutapata kitu weka booklet pembeni piga usingizi subiri pens down

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom