Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

rio ferdinand
"The players on the ball were not looking forward for runners. That is demoralising for the forwards.
"Consistency is key, that is the biggest thing at the moment.
"When you have young players in the squad, that can happen. But they have to find it somehow.
 
Kafukue nyuzi za liverpool za mwaka 2016/2017 /2018 uone kama hamna lawama 2019 ndo mmeonja raha ya makomne basi mnajidai hamjui lawama

Mpira sifa huja timu ikifanya poa ikifungwa ni kitu ingine ile pale liverpool ipoteze mech nne kama hajaulizwa shaqir kwa nini hachez kila mech
Walikuwa wanamponda Henderson balaa, ajabu juzi nimepita kwenye uzi wao, kuna mtu alimsifu sana na kusikitika kuumia(japo alikosa mechi moja tu).
 
We should stop leaving in the future which might not come

Msimu uliopita tuliaminishwa hivyo hivyo kuwa OGS atasajili wachezaji wake, msimu umeanza ni story za kushindwa kupata right players

Hata Ukiangalia press nyingi za Solskjaer akiulizwa kuhusu kusajili a nakwambia tutasajili lakini mpaka tupate right players, sawa kupata right players ni jambo jema lakini mbona timu nyingine zinapata hao hao right players United inashindwaje kuwapata hao right players

OGS is a coward, hawezi kuwaambia Glazers ukweli, hawezi kuwaeleza urgency ya mahitaji ya wachezaji kusajiliwa. Just being a United manager kwake is enough

Kwahiyo hata hao akina Madison inaweza ikawa ni story, mwisho wa siku tukaihia kuwa Longstaff na Rice

Pia ni makosa makubwa sana kumuweka kirusi kwenye future plans zetu, atatuingiza shimoni huyo jamaa
Njia pekee Man. Utd kuingia top 4View attachment 1309820

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu karibuni tupate kula mapema tukachimbe kaburi maana wamesema hawasafirishi
tapatalk_1576584101047.jpeg
 
Mechi zetu 8 zijazo, kwa trend hii ya uchezaji, mwezi huu utakuwa mgumu sana

Wolves (Away) - 04, Januari

Manchester City (Home) - 07,Januari

Norwich City (Home) - 11, Januari

Liverpool (Away) - 19, Januari

Burnley (Home) - 22, Januari

Manchester City (Away) - 29, Januari

Wolves (Home) - 01, Februari

Chelsea (Away) - 17, Februari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom