Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U sometimes inaboa hasa kuua moto wa timu pinzani, Burnley ilitakiwa tupige goli 3 chap itulie!.

Michezaji ya Burnley imeniboa yaani minguvu minguvu.

Wakuu naomba kueleweshwa Jones Ana msaada gani United, maana akiingia ni hasara.
 
Hivi nyie mashabiki mnaomtukana OGS humu kila siku huwa mnasikiliza kwenye press conference huwa anasema nini maana kila kitu anaweka wazi na ameshasema walikuwa wanajua msimu huu utakuwa wa kupanda na kushuka na ndio msimu utatumika kupata timu kwaajili ya msimu ujao.

Ifike mahali muheshimu tu maamuzi ya kocha, Ole anahitaji muda kukamilisha project yake kama LFC wangekuwa sio wavumilivu huenda wasingefika walipo, kwenye soka kuna kupanda na kushuka huwezi kuwa sehemu moja kila siku.

Ifike sehemu GLORY HUNTERS mtuachie timu, timu zipo nyingi zenye matokeo mazuri kila mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie mashabiki mnaomtukana OGS humu kila siku huwa mnasikiliza kwenye press conference huwa anasema nini maana kila kitu anaweka wazi na ameshasema walikuwa wanajua msimu huu utakuwa wa kupanda na kushuka na ndio msimu utatumika kupata timu kwaajili ya msimu ujao.

Ifike mahali muheshimu tu maamuzi ya kocha, Ole anahitaji muda kukamilisha project yake kama LFC wangekuwa sio wavumilivu huenda wasingefika walipo, kwenye soka kuna kupanda na kushuka huwezi kuwa sehemu moja kila siku.

Ifike sehemu GLORY HUNTERS mtuachie timu, timu zipo nyingi zenye matokeo mazuri kila mechi.g

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau sina cha kuongeza kwa sana umeandika fikra zangu kwa kiasi kikubwa timu inapata matokeo na kubadilika ila watu hawalioni hilo takriban timu kubwa zote tumepata matokeo sasa muda unahitaji kurekebisha kuhusu timu ndogo na tutakaa sawa
 
Huyu mwamba atajwi tajwi sana ila ndio mchezaji wetu muhimu sana pale kati, timu ishinde/ifungwe mwamba lazima aonekane, ana mapafu anazurura uwanja mzima, kafanya tumsahau kidogo pogba

Jana kafanya mtu mzima Matic awe na kazi rahisi pale kati

kipindi yupo shartar donesk Pep alimtaka ila Mou akawai japo Mou alishindwa mtumia na soka lake la kupaki bus

Nina amu kuona viungo watatu wakicheza pamoja either
Fred/Scot/Pogba au
Fred/Matic/Pogba

Screenshot_20191229-121227.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James anatoa hizo pasi tunapofanya counter attack sanasana..kitu ambacho hatujakifanya sana tunapokutana na timu ndogo

Mchezaji inabidi usiwe na strength moja tu..

Hakuna asiyekubali kuwa James kuna vitu anavyo..ila sio lazima aanze kila mechi,kuna mechi tutahitaji aina nyingine ya uchezaji
ukimtaka James huyo unaemzungumzia basi abadilishiwe upande atakuoffer vitu vingi zaidi
 
Akili zako aziko sawasawa. Tuombe Liver pool afungwe na wolves tupunguze gap lake, tupambane tuchukue ubingwa. Arsenal wa 12 huko akishinda inakusaidia nini sasa wewe PUMBAFU. Tuweni na mawazo ya ubingwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sio mawazo yakibingwa nimawazo ya kichaa yaani uwazie ubingwa?? Kwa kushinda mech mbili..... nyie mashabiki wa hii timu kazi mnayo
 
Akili zako aziko sawasawa. Tuombe Liver pool afungwe na wolves tupunguze gap lake, tupambane tuchukue ubingwa. Arsenal wa 12 huko akishinda inakusaidia nini sasa wewe PUMBAFU. Tuweni na mawazo ya ubingwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutaki ubingwa msimu huu sisi Leo tutaungana na ndugu zetu Arsenal aidha ashinde au draw, japo draw ni nzuri zaidi. Tunawapenda sana asenane!!
 
Back
Top Bottom