Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

New Year
FB_IMG_1577916327312.jpeg
FB_IMG_1577916115196.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
√Nasubiria tu reaction ya Ole kwenye dirisha dogo hili..squad depth+quality bado sana

-Mata is dead
-Matic too slow..yaani kama kibabu cha miaka 80
-Shaw is useless
- Depending on Lingard in 2020 is a joke..hastahili hata kuwa kwenye matchday list

√Uchezaji wa Maguire sometimes unaniboa kinoma, anapenda kukaa na mpira na hakuna la maana analolifanya..move the fu.ckin ball faster..Anapata free header anashindwa kufunga

-Hii timu msimu wote huu tumekuwa na hali ya kupata confedence na kuhisi tumerudi atleast,then tunakutana na kipondo..it's real disgusting
Bila bailly kuumia hakukuwa na fursa ya kumsajili maguire hawa wakina bailly na rojo wakuuzwa wanakula pesa wanacheza mech tatu wanarudi hospital

Siongei vibaya anatusaidia kuna muda ila hapig kaz saaana
 
Hii timu huwa inashinda kutokana na morali Za wachezaji tu siku wakiamka vizuri wanafanya poa siku wakiamkia kiunoni wanazingua. Ila sioni mpaka leo kama kuna kitu kocha ameongeza zaidi ya kusajili, hana mbinu wala mpango kazi wa kushinda mechi anapofeli mfumo A inakua ndo imetoka hiyo. Na bado kama haoni umuhimu wa kupata kiungo mzuri January hii tuhesabu maumivu,hamna inapoenda hii timu tunadanganyana tu yani.
Hata Sub zake zakukariri tu leo Rashford hamna alichofanya hajadribble hata mara moja lakini kamtoa James sababu kakariri makame hatoki na james ndo sub ya greenwood hii ni constant haijalishi wameperfom vipi uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza lingard katutia gundu toka acheze cheze pale kwenye uwanja wa arsenal ishakuwa inshu anapewa assist na lukaku anampitiliza badala ya kumshukur anamkwepa mshikaji anaenda kucheza cheza
 
Hii timu huwa inashinda kutokana na morali Za wachezaji tu siku wakiamka vizuri wanafanya poa siku wakiamkia kiunoni wanazingua. Ila sioni mpaka leo kama kuna kitu kocha ameongeza zaidi ya kusajili, hana mbinu wala mpango kazi wa kushinda mechi anapofeli mfumo A inakua ndo imetoka hiyo. Na bado kama haoni umuhimu wa kupata kiungo mzuri January hii tuhesabu maumivu,hamna inapoenda hii timu tunadanganyana tu yani.
Hata Sub zake zakukariri tu leo Rashford hamna alichofanya hajadribble hata mara moja lakini kamtoa James sababu kakariri makame hatoki na james ndo sub ya greenwood hii ni constant haijalishi wameperfom vipi uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ata afanye kuswitch James atokee kushoto ambako ndo yupo comfortable napo
 
Mfate huyo Raiola, maana naona ingekuwa kuna timu inaitwa Pogba baadhi yenu mngekuwa Pogba/Raiola Fc

Pogba boya tu kama maboya wengine, tuna majeruhi ya kutosha halafu yeye ndio anazingua

Akina Xaka, Kolasinic, Kostas wote hawakuwa fiti 100% lakini wamecheza, halafu boya mmoja anaitwa Pogba anajiona star hawezi kucheza kuipambania timu

Arsenal leo wametuzidi kwenye kiungo, angekuwepo Tominay wasingetawala game, first half

OGS naye ana share ya makosa, how anaanza Lingard mbele ya Pereira kwa form zao kwa sasa

Makosa mengine ya OGS ni ya siku za nyuma, alishindwaje kusajili midfielders wakati Fellaini na Herrera wameondoka. Angesajili kiungo tusingekuwa tunategemea Pogba kwa kiwango hiki

Very poor first half

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hujanielewa kwanini nasema Raiola yuko sahihi kwa alichokisema

Speaking to Italian news outlet La Repubblica, Raiola said: “Pogba’s problem is Manchester United. It’s a club out of touch with reality and without a sporting project"

Sent using simu mbovu
 
Mzee baba mlituaminisha kwamba gari ndo limewaka. Vipi nini kimetokea leo?

Nasikia pogba anakatwa mguu kabisa ya kweli hayo?

Raiola kasema haleti tena wachezaji man u lazima mshuke daraja nyinyi....
Badala ata afanye kuswitch James atokee kushoto ambako ndo yupo comfortable napo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BEIN Sports commentator: "If I was the manager, I would send Jesse Lingard home at half time. He doesn't create any chances for Manchester United, he's just taking up space on the pitch."

Jesse Lingard lost possession nine times in the first half and he misplaced eight passes, creates nothing in attack. This man gets paid £110,000 every single week. Robbing a living 🗣 🗣 🗣
====================================
 
robin van persie

When I listen to Ole, he sounds like a really nice guy," van Persie said on BT Sport. "I would like to see him a bit more mean at times, just be angry.

"I see him smiling now after a game like that. This is not the moment to smile.” It was an opportunity missed for Solskjaer's men meanwhile, who failed to close the gap on the top four, and van Persie suggested the blame should lay at the manager's door.
 
Back
Top Bottom