Kwanini usiende city, wakupige mkuyenge uwapoze machungu?
Fala wewe nimescroll mpaka kidole kimeota sugu
Kauli ya kocha mstaafu hii.Noisy neighbors
Achana na Konyagi mkuuDah, gemu imenipita. Nilijua itachezwa jumapili. GGMU
[emoji23][emoji23][emoji23]..Naam,,msimamo uweke gemu ikiishaMoto mkubwa huu.
[emoji38][emoji38]View attachment 1284894
Now mtahamia kwenye mechi tatuToka msimu umeanza MAN U hajawahi kushinda mechi mbili mfululizo.
Ukinywa konyagi unadhani kila mtu anakunywa? By the way, nilikuwa katika mapumziko ya sabato, na internet nayo nikapiga pending, ndiyo maana sikuona kama mechi ipo.Achana na Konyagi mkuu
SawaTwende na Man City sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Lazima mliwe kichwa aise...
Kila la kheri Man city.....
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]