
Fafanua kidogo kakaAnayeendesha VAR Leo yuko vizuri upande mmoja.
Namuona yuko makini sana na penati za wekundu kuliko bluu, lakini kwa maoni yangu maamuzi ya kukataa penati za Bluu ni sahihi kwa tafsri ya sheria yenye kwamba mkono ulikuwa sehemu yake ya asili hivyo Mpira umefuata mkono.Fafanua kidogo kaka
Umeongea ukweli Mzee BabaIngekuwa liver mngesema anabebwa
Mlitakiwa muwe mnaongoza 4 mpaka sasa maana mmekosa clear chances kuliko City.Ggmu bado moja au mbili tena tunazihitaji
.Sterling kakutana na mhuni anaitwa Aaron Wan-Bissaka hatembei kabisaa
. Rashford kwa sasa anastahili mishahara kama ya kina Messi na Ronaldo.
Nani ataandika kwenye tete kama hii?