Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

December ya ki-epl ya tarehe 25, magoli ya penalty si ya kushangilia sana sababu huwa yanapumbaza fowards kiupambanaji
Wapi Nimesema Ole Ni Bora???



Naona zile goal mbili za Rashford zinakulevya mpaka Sasa , inamaana hujui kama tumeshaingia mwezi December???
 
Mkuu sio kisiasa

Tatizo mjadala wa OGS kutosha kuvaa viatu vya u meneja pale tushaujadili sana humu, kwa hiyo sometimes ni ku avoid repeatition.

Pia kuhusu biashara kupewa kipaumbele kuliko mafanikio ya kisoka (hapa wamiliki wa timu na bodi wanahusika) tumeshakitaja sana humu kama chanzo cha kuyumbisha United

Pia structure mbovu ya uongozi inayosababisha watu wasio wa soka kufanya maamuzi ya soka au watu wa soka lakini wapita njia kufanya maamuzi ya soka (kimsingi hapa ni kukosa DoF) . Vyote hivi vimechangia kuyumbisha timu yetu.
Sawa mkuu nimekusoma
 
Waarabu wana bip
Screenshot_20191206_124236_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20191206_124318_com.android.chrome.jpeg
 
Back
Top Bottom