DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Wakuu nipo safarini, vp matokeo huko mnaoangalia mechi??
City 0 - 2 Utd
Wakuu nipo safarini, vp matokeo huko mnaoangalia mechi??
Ha ha ha ha Leo kaweka. Nadhani utaacha sasa
Sisi 2 wao bila(0) mpaka sasa kiongoziWakuu nipo safarini, vp matokeo huko mnaoangalia mechi??
Mbuzi kauma mbwa 0-2Wakuu nipo safarini, vp matokeo huko mnaoangalia mechi??
Naungana na weweVijana leo inabidi wakomae, matokeo yasibadilike
Man UnitedOle In
We Trust in You
Anayeendesha VAR Leo yuko vizuri upande mmoja.
Ingekuwa liver mngesema anabebwa
Mkuu tulia maajabu yaendeleeAnayeendesha VAR Leo yuko vizuri upande mmoja.