Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kikosi hicho
Screenshot_20191201-190908.jpeg
 
MANCHESTER, England. Kwenye msimamo wa Ligi Kuu England kabla ya mechi za jana Jumamosi. Wale wababe wanaotajwa kuwa vigogo wa Big Six, Tottenham Hotspur walikuwa kwenye nafasi ya 10 na wamempiga chini kocha wao Mauricio Pochettino.
Arsenal kwenye nafasi ya nane, wamemfungulia mlango wa kutokea kocha wao Unai Emery.
Manchester United kwenye nafasi ya tisa, bado wanavutavuta muda na kocha wao, Ole Gunnar Solskjaer.
Lakini, waswahili husema hivi, mwenzako akinyolewa tia maji.
Kwa wiki za karibuni, makocha hao watatu kutoka kwenye zile klabu za Big Six kwenye Ligi Kuu England, wote walitajwa kuwa kwenye hali ngumu ya kuviweka vibarua vyao salama kutokana na matokeo ya hovyo ndani ya uwanja.
Tayari makocha wawili, Pochettino na Emery wameshafunguliwa mlango wa kutokea bado Solskjaer.
Spurs kwa sasa wapo chini ya Jose Mourinho na wameshashinda mchezo wao mmoja kwenye Ligi Kuu England uliowafanya kufikisha pointi 17 katika mechi 13, lakini Arsenal wao watakuwa chini ya kiungo wao wa zamani, Freddie Ljungberg na shughuli yake ya kwanza Ligi Kuu England itakuwa kuikabili Norwich City ya Teemu Pukki leo Jumapili.
Sare ya 1-1 kwenye Ligi Kuu England iliyopata Spurs dhidi ya Sheffield United ndiyo iliyowafanya mabosi wa timu hiyo kuona inatosha na kumfuta kazi Pochettino, wakati Emery kipigo kutoka kwa Eintracht Frankfurt ndicho kilichohitimisha ajira yake huko Emirates, lakini kabla ya hapo kwenye mechi ya ligi iliyopita ilitoka sare ya 2-2 dhidi ya Southampton nyumbani huku wakicheza mechi saba mfululizo bila ya kuona ushindi.
Kocha Solskjaer kwenye mchezo uliopita wa ligi, alitoka sare ya 3-3 na Sheffield United kabla ya kwenda kuchapwa 2-1 na Astana kwenye Europa League. Hali yake hana tofauti na wenzake waliofutwa kazi.
Kwenye ile Big Six, makocha ambao wapo salama kwenye vibarua vyao ni Jurgen Klopp wa Liverpool, Pep Guardiola wa Manchester City na Frank Lampard wa Chelsea.
Mashabiki wa Man United baada ya kuona wenzao Arsenal wamemfuta kazi kocha wao, nao wametumia kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Twitter kutaka Solskjaer afukuzwe.
“Ole Gunnar Solskjaer tafadhali fuatana na rafiki yako Unai Emery #OleOut,” aliandika shabiki mmoja kwenye Twitter.
Shabiki mwingine aliongeza: “Bado siamini kabisa kwamba Unai Emery ameondoka kabla ya yule kimeo wa Old Trafford. manutd jifunzeni kutoka kwa Arsenal fukuza Ole Gunnar Solskjaer. OGS aondoke tu.”
Mwingine alisema: “Solskjaer ana rekodi za hovyo kuliko Emery na wote kama muda wao unafanana tu. Arsenal wakiwa moja ya klabu kubwa Ulaya wameona inatosha kuendelea kudhalilika. United wao bado wanang’ang’ania tu.”
Kuna shabiki mmoja aliandika: “Kwanza Mauricio Pochettino, sasa Unai Emery, tafadhali Ole Gunnar Solskjaer awe anayefuata.”
Mchezo ujao kwenye Ligi Kuu England, Man United watakuwa nyumbani kukipiga na Aston Villa matokeo mabovu kwenye mechi hiyo yatamweka pabaya zaidi Solskjaer huku baada ya hapo atakuwa na kipute cha kuikabili Spurs ya Mourinho, ambaye bila ya shaka atakuwa na hasira dhidi ya waajiri wake hao wa zamani na kuwaonyesha kwamba walikosea kumfuta kazi atakaporudi Old Trafford.
Kisha Ole anakibarua kingine kigumu cha kuwakabili Man City wanaosaka ubingwa huko Etihad, mechi tatu ambazo zinawafanya watu waamini na kocha huyo atakuwa na bahati kama ataendelea kukalia kiti chake cha ukocha huko Old Trafford baada ya mechi hizo ukijumlisha na zile dhidi ya AZ Alkmaar kwenyte Europa League na dhidi ya Everton kwenye Ligi Kuu England.
Nje ya Big Six, makocha wengine wanaodaiwa kwamba muda wowote wanaweza kufunguliwa milango ya kutokea ni Manuel Pellegrini wa West Ham United na Marco Silva wa Everton.
 
Tuachieni kocha wetu sisi tumempa ajenge timu ya baadae yenye moyo wa kimanchester
 
wazee wakutembea na upepo wa kisulisuli walining'ata sikio wakinidokeza AWAY or DRAW.
ngoja nikae mkao wa kula
 
ngoja nisitie neno kwakufungwa hili goli la kwanza kama kuna mtu yupo karibu na kocha amwambie asipange watu wawili wanaovaa gloves uwanjani wakati mmoja yaani Kipa na Martial.
Forward pekee anayevaa gloves maajira yote, iwe vyema tu Midfielders wafanye kazi yao vizuri maana hapo tunasubiri goli la Mata, Rashford ,James na ikimpendeza Martial kuamua kufunga
 
Back
Top Bottom