Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Brando Williams, tatizo kubwaaaa sanaaa...Shaw & Young wako bench pale. Huyu dogo bado sana hana uzoefu wowote.
Naona sikihizi umeridhika na kiwango cha Martial.
Ila kumbuka Kuwa washabiki wenzako wa Man United wanashauti munapoongoza usiweke Msimamo (Table).

