Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1.Karibia kila mechi ya Man u, kuna crosses zinapotea bure. Huku maattackers wetu wamekaa nje ya box, na hili linajitokeza mara nyingi sana.

2.loose ball yoyote ile lazima iangukie kwa wapinzani, wachezaji wetu hawahangaiki kujishughurisha . mfano zile long balls zinazopigwa na degea, mara nyingi huwa zinaishia kwa opponent. Why?

3. Tuwapo uwanjani kuna uwazi mkubwa kati ya defence-middfield, middfield na attack.
Ndio maana mara nyingi tunakuwa outnumbered.
Iwe tumepigwa shambulizi la kushitukiza, au tukiwa tunashambulia.
Kwa uzoefu wangu mdogo timu nyingi nzuri, zina work as a unity. Hii inawasaidia kuwa na options nyingi za kutoa pass.

Haya ni baadhi ya mambo yanayo nistajabisha na kunihuzunisha ninapotazama mechi za Man u.

Kiufupi wachezaji wetu wamelizika, hakuna fighting spirit kabisa, na hili liko Chini ya Manager na bechi lake la ufundi.
 
The day we were waiting is here..

United Vs Spurs

Tukifungwa leo itabidi nimeze Diazepam 5mg ili niweze kulala

Wenzako wameanza kuhama. Wewe unasubiri nini?

0e05b7aa-d624-4d8e-b10d-9a388fe7ac53.jpg
 
1.Karibia kila mechi ya Man u, kuna crosses zinapotea bure. Huku maattackers wetu wamekaa nje ya box, na hili linajitokeza mara nyingi sana.

2.loose ball yoyote ile lazima iangukie kwa wapinzani, wachezaji wetu hawahangaiki kujishughurisha . mfano zile long balls zinazopigwa na degea, mara nyingi huwa zinaishia kwa opponent. Why?

3. Tuwapo uwanjani kuna uwazi mkubwa kati ya defence-middfield, middfield na attack.
Ndio maana mara nyingi tunakuwa outnumbered.
Iwe tumepigwa shambulizi la kushitukiza, au tukiwa tunashambulia.
Kwa uzoefu wangu mdogo timu nyingi nzuri, zina work as a unity. Hii inawasaidia kuwa na options nyingi za kutoa pass.

Haya ni baadhi ya mambo yanayo nistajabisha na kunihuzunisha ninapotazama mechi za Man u.

Kiufupi wachezaji wetu wamelizika, hakuna fighting spirit kabisa, na hili liko Chini ya Manager na bechi lake la ufundi.
Hilo la kutokutumia crosses vizuri li anikera sana..
 
humu watu tupo mbali sana na uwanja wa mazoezi wa Carrington ila tunasema timu inacheza kama ndio siku ya kwanza wamekutana uwanjani alafu hapohapo kocha anatuambia we are working hard just imagine kocha akipandikiza tactics zake kwa wachezaji vizuri si tutashuka daraja kwahali hii.....

Pia tujiulize solskjaer akifukuzwa united timu gani inaweza kumpa kibarua pale EPL? Just imagine hakutakuwa na timu itakayomtaka solskjaer pale EPL kwavipi awe mtu sahihi kwa timu kubwa kama Manchester United? inasikitisha na inaumiza.........

Dalili njema huonekana asubuh issue ya wachezaji kuwa mediocre players tusisahau van gal alikuwa anaupiga mwingi na watoto wa academy sembuse hawa waliokomaa tu
 
so sad,Mourinho angekunga goli ya ushindi 1999 uefa basi mpaka leo angekuwa kocha wa United...united hamna kocha pale,jamaa hana mbini,hana formula yani pale namuona David Moyes aliechangamka!

Back
Top Bottom