Ni zaidi ya fedhea..Man Utd tutaiambia nini dunia pale Liverpool wanachukua kombe sisi tunampanga Phil Jones kama beki tegemeo?
Watu hawana matumaini kabisaHuu ukimya wa leo unaashiria nini ?
Huu ukimya wa leo unaashiria nini ?
Hivi Leicester akija kuwaovertake mtajiskiaje mkuu??Tutarudi siku Ole akifungasha virago.
Hivi Leicester akija kuwaovertake mtajiskiaje mkuu??
Tutarudi siku Ole akifungasha virago.
Kama McTominay hatokuwa fit leo basi kina Grealish na McGinn na yule Mzimbabwe watatusumbua sana pale katikati
Mi nadhani sisi man u inatakiwa tuuze de gea, pogba, martial, rashford kisha tununue Vorm, ward powse, anartovic na dany ings. Hapo hata uefa tunabeba mwakani.



Swali lako la msingi sana, yanatakiwa majibu yaliyoshibaWakuu nauliza ikiwa JONES anaweza kucheza lile soka Msuva je hawezi kucheza epl?
Leo must winHuu ukimya wa leo unaashiria nini ?
Ole kasema kurudi kwa Pogba uwanjan ni sawa anafananisha na new signingPogba anarudi lini asee! Aje bana mechi ya Tottenham wamuoneshe mournho kuwa ni kocha ovyo Hahahaha mpira mkubwa sana.
ONYO: NI MARUFUKU KUMUPANGA KOMANDO KIPENSI PHIL JONES KWA AMRI YA WIZARA YA ULINZI. OLE KWAKO.