Okay, kwa kuangalia matokeo ya halftime unaweza vipi kujua unapokwama?
Pengine ni kukosa concentration kwenye mechi yote (90 minutes)
Pengine ni kukosa pumzi, kukosa fitness ya kutosha kwa wachezaji na kuchoka mwishoni
Pengine ni utoto (wachezaji kukosa uzoefu) kwa kudhani mechi imeisha, hapa nakumbuka zaidi mechi yenu na ya Arsenal
Pengine ni kumtathimini kocha kukosa mbinu za kumaliza game (sidhani kama Jose anaweza kupoteza uongozi wa mechi mara nyingi kiasi hicho)
Hii ni mifano tu
hapo juzi kati tu aliwapeleka DubaiPengine ni kukosa concentration kwenye mechi yote (90 minutes)
Pengine ni kukosa pumzi, kukosa fitness ya kutosha kwa wachezaji na kuchoka mwishoni
Pengine ni utoto (wachezaji kukosa uzoefu) kwa kudhani mechi imeisha, hapa nakumbuka zaidi mechi yenu na ya Arsenal
Pengine ni kumtathimini kocha kukosa mbinu za kumaliza game (sidhani kama Jose anaweza kupoteza uongozi wa mechi mara nyingi kiasi hicho)
Hii ni mifano tu

eti kujenga match fitness ebu ole awe seriousHii comment yako ipeleke kwenye uzi wa Spurs..uta-make sense zaidi..In José Felix Mourinho we trust
In José Felix Mourinho we trust
Tuko pamoja mkuu kuhama Tim ni vigumuMhamaji mwenyewe anatumia 'X' badala ya 'S' huyo sio shabiki bali ni mshangiliaji.., mimi hata iwe vipi sitohama united abadani sababu ndo timu yangu kufa na kuzikana.

Tujipange vipi pale mbele??Availlable squad, No Martial, Tominay inView attachment 1281775
Tujipange vipi pale mbele??
James Rashford Greenwood or what?
Scott kama karudi jambo jema sana, Martial hata hakikosekana poa tu, cha uvivu yuleAvaillable squad, No Martial, Tominay inView attachment 1281775
OGS anataka kula tunda kimasihara
Tujipange vipi pale mbele??
James Rashford Greenwood or what?