DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Ninacheka kama mazuri dah....kwahiyo wale Crystal Paa na Bournaboys walichokufanya ndio ushajisahaulisha ..!!!!!aroooooohhhHata kama hatuko pazuri hatuna was was kama walio nao chelsea na Arsenal,
Sisi ndiyo team pekee ambao hatujafungwa na timu bora kuliko zote EUROPE kwa sasa.
Nyinyi tuliwatandika 4, arsenal akalazimisha sare na liverpool nae akalazimisha sare.
