Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata kama ball possession kwa liverpool hakukuwa kipaumbele sana.

Walihitaji makosa matatu ya man city kuwaadhibu.

Ball possession siyo tactical control of the game Liverpool walikuwa wanatumia second balls Kuwaadhibu man city.

Hata kama wangefungwa mapema still wangemfunga man city
jiulize swali moja tu ile penati ya mapema tu wangefunga city liva ingekua na hali gani uwanjani....je wangeweza rudisha na kushinda ile mechi??? kumbuka goli la mapema walilofungwa city ndio liliwatoa mchezoni mazima wanakuja kurudi mchezoni zimebaki dakika 20 tu mpira kuisha.....ilifika muda ball possess ilisoma liva 20 na huku city 70 na
 
Mohamed Salah ana goal 6
Rashford ana goal 6 kwahiyo Rashford ni sawa tu na Mo Salah
Sasa wanatofauti gani mkuu ...Salah anategemea mbeleko la akina fabihno na Mane wampambanie..ila yeye miguu yake sio ya kushoto kama Rashid ..

Unaeza shangaa Salah akamaliza msimu ana goli 20 rashid zikabaki izo izo sita
 
Huwezi kuwa serious..

Mguu ukomae kivipi??

Kaenda Spain huko kacheza Laliga,mguu unataka ukomae kivipi??..Yule sio mtoto,he is 23 years old

Tom cleverley,Januzaj=Walikuwa ni vijana wetu ila walikuwa sio bora kwa level zetu na ndo maana wameishia kwenda kwenye timu za level zao..the same thing must happen to Perreira
Binafsi hata mimi Perreira hua simuelewi huyu dogo, Hao kina Janajuzi na Clevery walicheza man utd kwa sababu kipindi kile upinzani kwa timu ndogo ulikua wa kawaida tofauti na sasa hivi unakuta hata timu ndogo ina wachezaji wazuri pengine kuliko hata wa kwako

Na hii ndio issue inayotugharimu sana united na kama tukitaka kuvuka hiki kikwazo ni lazima kusajili wachezaji kariba ya timu za liverpool na man city
 
Hahaha kwa iyo mwezi huu washafunga mahesabu
Wewe kwa harakahara unaona man u atashinda kwa sheffield maana ndio match pekee iliyobaki kwa mwezi huu. Kwanza hao sheffield ndio timu ya pili kwa kuconcede magoal machache msimu huu wakiwa wameconcede 9 goals pekee wanazidiwa na Leicester city pekee ambaye ameconcede 8 goals.

Sasa hapo mamaester united anachomokaje kwa mfano?
 
Binafsi hata mimi Perreira hua simuelewi huyu dogo, Hao kina Janajuzi na Clevery walicheza man utd kwa sababu kipindi kile upinzani kwa timu ndogo ulikua wa kawaida tofauti na sasa hivi unakuta hata timu ndogo ina wachezaji wazuri pengine kuliko hata wa kwako

Na hii ndio issue inayotugharimu sana united na kama tukitaka kuvuka hiki kikwazo ni lazima kusajili wachezaji kariba ya timu za liverpool na man city
Nusu ya wachezaji wa Liverpool ni wachezaji wa kiwango cha kati, uwezo wa kocha kuitengeneza tim ndio kimefanya Liverpool ionekane tishio kwa sasa wala si ukubwa wa wachezaji.
 
Ushasema nusu mkuu, wakati wengine timu karibu yote ni tia maji tia maji, pia ubora wa hao wachezaji wa kiwango cha kati chao huwezi kuwafananisha na timu yetu kimchezo, ki status mfano kama jina wanaweza kua wanalingana but ile spirit au morale ya kiushindani na kiupambanaji ni kubwa kuliko timu yetu na ukitaka ku prove hili jambo angalia mechi yoyote ambayo man u anaanza kutanguliwa goli
 
Kwahiyo Tamy ni zaidi ya MO Salah...??

Tatizo Ollachuga hajui soka, anadhani soka ni kama hesabu
Hahaha maana anataka kumshusha sana Rashford wakati itahitajika misimu miwili mpaka mitatu kwa Tammy kuyafikia magoli ya Rashford EPL, hata kama Rashford atastaafu leo kucheza
 
Wewe kwa harakahara unaona man u atashinda kwa sheffield maana ndio match pekee iliyobaki kwa mwezi huu. Kwanza hao sheffield ndio timu ya pili kwa kuconcede magoal machache msimu huu wakiwa wameconcede 9 goals pekee wanazidiwa na Leicester city pekee ambaye ameconcede 8 goals.

Sasa hapo mamaester united anachomokaje kwa mfano?

Huyo kipa anayezuia magoli hatakuwepo. Sababu kipa ni wa Man U yupo kwa mkopo hapo, so wanaweka pazia ole wake rashford afanye uboya.
 
Aaahaha aise bwana mkubwa hapa hakuna kitu ..awachomoki..
 
Hahaha maana anataka kumshusha sana Rashford wakati itahitajika misimu miwili mpaka mitatu kwa Tammy kuyafikia magoli ya Rashford EPL, hata kama Rashford atastaafu leo kucheza
Hahaha uyo Rashid mwenye goli 9/10 per season?? Hahahaha acha vichekesho bana ...kweny championship bwana Tammy kakimbiza 29+ uko ..magoli ambayo rashid mpka anastaafu ataeza fikisha ..
 
Hata kama wataweka pazia. Rekord yenu ya kushinda match moja ya epl per month inaendelea. So mwezi huu mmeshafunga hesabu kwenye hiyo match iliyopita ambayo mlishinda. So hiyo game ya shelffield ni sare au kipigo kwenu.

I stand to be corrected. Halafu kama umeangalia hata game moja tu ya sheffield utakuwa umejua ni timu ya aina gani?
Huyo kipa anayezuia magoli hatakuwepo. Sababu kipa ni wa Man U yupo kwa mkopo hapo, so wanaweka pazia ole wake rashford afanye uboya.
 
Rashford hawezi kwenda kucheza rede ya huko championship kiwango chake ni cha EPL

Back
Top Bottom