Martial ni mchezaji mzuri sana, hasa akiwa ana viungo wa maana. Lakini ukweli unabaki kuwa hana spirit ya Daniel James, Rashford au Tominay. Laiti angekuwa na "x factor" kama OGS anavyoiita, huyu dogo ana potential ya kuwa next CR7
Rashy ame prove kwamba he is not number 9, japo ana uwezo wa kufunga. Anafaa zaidi kucheza kutokea kushoto katika mfumo wa 4-3-3. Pia anapaswa kupunguza ubinafsi
Pereira ni moja kati ya hardest working players wa Man Utd kwa sasa. Lakini kiwango chake kinatia mashaka kwani hana consistence. Apewe muda, atazamwe msimu huu. Akiendelea kucheza hivi hivi OGS asimuonee aibu. Auzwe hata Everton.
Brandon Williams ni kijana ambaye hata Jose alikuwa amemuweka kwenye mipango yake. Jose amewahi kusema kwamba some academy players are very good but very young. Future number 3, should also be our curent left back.