Miguu yake yote ni ya kushoto sio?Uyu rashid mwenye miguu ya kushoto???
DJ au Fred walideserve hii..sema siyo mbaya itaongeza confidence kwa dogo..Dogo kawa MOTM, amecheza poa ila kwangu mimi ni Fred au DJView attachment 1259902
Nani hayaogopi majogoo humu 🤣🤣Huu ni mwaka wa Livepool, wapinzani wanakanyaga boli mpaka majirani zetu wanaomba poo. Hawa Liverpool kiboko yao ni sisi tu.
Huyo huyo ambae msimu huu pekee kawatoboa magoli manneUyu rashid mwenye miguu ya kushoto???
Mkuu hizo ligi za wanawake , Kuna mtu alikuwa anaitwa Clasjan Hunterer (Siko sahihi kwenye kuandika jina lake)... Aliwahi kufunga magoli 30+ kuelekea arobain kwenye ligi kuu ya uholanzi kwa msimu mmoja ....Yule dogo Halland wa salzburg anatupia balaa kwa striker wetu kina rash wala hawaingii hata kidogo inafaa tumsajili tu
Hiyo assist ya goli la pereira katoa nan? Hebu uwe Unaangaliaga Mpira na kuacha mihemko yako,Pereira kafunga dakika ya 15...Martial hajagusa mpira mpaka saa hii, pumbaf sana.
No, I'm not.Nani hayaogopi majogoo humu 🤣🤣
VAR ikizimwa mtapata ushindi na Alex-Arnold akiokoa kwa mkono twende tu hapo poa ushindi mneneMzunguko wa pili sijui sijui mtatokea mlango upi ANFIELD yaani sijui.
Mkuu hizo ligi za wanawake , Kuna mtu alikuwa anaitwa Clasjan Hunterer (Siko sahihi kwenye kuandika jina lake)... Aliwahi kufunga magoli 30+ kuelekea arobain kwenye ligi kuu ya uholanzi kwa msimu mmoja ....
Madrid walimsajili kwa mbwembwe akaishia kuwa flop ... so acha kumlinganisha Rashford na hao watoto wadogo.
VAR ikizimwa mtapata ushindi na Alex-Arnold akiokoa kwa mkono twende tu hapo poa ushindi mnene
Ilivyokuokoa OT ilikuwa sio VARVAR ikizimwa mtapata ushindi na Alex-Arnold akiokoa kwa mkono twende tu hapo poa ushindi mnene
mhh aya mkuu nimekupata ila kwa hisani ya ??!!!!!!!!!!!Last season tulipata points 97 bila ya VAR
Ndipo kwenye Mitandao zikaibuliwa hoja Kuwa kungelikuwa na VAR Liverpool asingeingia hata Top Four
Hatimae VAR imekuja munalialia tena! Mbona hamusomeki?
ya Anfield aifanyi kazi na ata ile mechi ingekuwa uwamja huo asingeonekana Mane kama aliushika ule mpiraIlivyokuokoa OT ilikuwa sio VAR
DJ au Fred walideserve hii..sema siyo mbaya itaongeza confidence kwa dogo..
Dah yaan man yuu tumekuwa na maisha yasiyo na uhakika. Hatujui tutashinda lini na tutafungwa lini...e.g Leo nilijua tufungwa cheki Sasa tutashinda hahaha
Last season tulipata points 97 bila ya VAR
Ndipo kwenye Mitandao zikaibuliwa hoja Kuwa kungelikuwa na VAR Liverpool asingeingia hata Top Four
Hatimae VAR imekuja munalialia tena! Mbona hamusomeki?