G_real
JF-Expert Member
- Aug 23, 2019
- 684
- 856
Sio kinda tena ameshakuwa mkubwa huoni makalio yake yamekuwa makubwa











Sio kinda tena ameshakuwa mkubwa huoni makalio yake yamekuwa makubwa











Hiv unawezaji kulaumu striker kwa timu isiyokuwa na kiungo wa uhakika wa kutengeneza nafasi? Shukur Mungu martial walau ansaidia timu wakina di maria na umwamba wao wamekimbia hapo
Na martial pia ndio anaongoza ligi nzima ya uingereza kwa shabaha ya kufunga,Jamaa haoni kwamba Martial ameleta balance tangu apone
Man u acheni utani msajili mshambuliaji wa maana. Rashford debe tupuView attachment 1262187View attachment 1262188
Hata kama wataweka pazia. Rekord yenu ya kushinda match moja ya epl per month inaendelea. So mwezi huu mmeshafunga hesabu kwenye hiyo match iliyopita ambayo mlishinda. So hiyo game ya shelffield ni sare au kipigo kwenu.
I stand to be corrected. Halafu kama umeangalia hata game moja tu ya sheffield utakuwa umejua ni timu ya aina gani?
Hata kama wataweka pazia. Rekord yenu ya kushinda match moja ya epl per month inaendelea. So mwezi huu mmeshafunga hesabu kwenye hiyo match iliyopita ambayo mlishinda. So hiyo game ya shelffield ni sare au kipigo kwenu.
I stand to be corrected. Halafu kama umeangalia hata game moja tu ya sheffield utakuwa umejua ni timu ya aina gani?
Good analysis, January Sosha alete James Maddson wa Leicester, huyu bwana mdogo alishawai hojiwa kasema yeye ni die hard utd fan, huyu sprit yake ni aina ya kina D.James, Scot, MaguireMartial ni mchezaji mzuri sana, hasa akiwa ana viungo wa maana. Lakini ukweli unabaki kuwa hana spirit ya Daniel James, Rashford au Tominay. Laiti angekuwa na "x factor" kama OGS anavyoiita, huyu dogo ana potential ya kuwa next CR7
Rashy ame prove kwamba he is not number 9, japo ana uwezo wa kufunga. Anafaa zaidi kucheza kutokea kushoto katika mfumo wa 4-3-3. Pia anapaswa kupunguza ubinafsi
Pereira ni moja kati ya hardest working players wa Man Utd kwa sasa. Lakini kiwango chake kinatia mashaka kwani hana consistence. Apewe muda, atazamwe msimu huu. Akiendelea kucheza hivi hivi OGS asimuonee aibu. Auzwe hata Everton.
Brandon Williams ni kijana ambaye hata Jose alikuwa amemuweka kwenye mipango yake. Jose amewahi kusema kwamba some academy players are very good but very young. Future number 3, should also be our curent left back.
Hayuko form alafu anataka kuondoka January kwasababu achezeshwiMatic ni mgonjwa?
Chief-Mkwawa upo broo kumbe hata huku huwa unatembelea,enzi hizo tulikuwa tunakutana sana kwenye jukwaa la technologies ulikuwa unatupa shule kwenye mambo mbalimbali ya ufundi,nimefurahi sana kuona jina lako huku.Matic ni mgonjwa?
Hayuko form alafu anataka kuondoka January kwasababu achezeshwi
International breaks sucks..bigtime
Tutamaliza hata top 6 kweli?
Sijui!
Top 4 believe or notTutamaliza hata top 6 kweli?
Sijui!
Hahaha bado goli nne tufukuze watu humu ndaniRashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.
Ollachuga Oc
Hahaha bado goli nne tufukuze watu humu ndani
Alishindwa kutofautisha kati ya RASHFORD na LINGARD...Rashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.
Ollachuga Oc