Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SIKU YANGU HII IMESHAHARIBIWA MAPEMAAAA NA MARTIAL [emoji853]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa wewe sijui huwa unamaanisha au ni kweli ila huwa unanchekesha sana,yaani umetengeneza identity yako kwa kumchukia Martial
 
Nyumbu fc zimepakatwa Tena. Tukiwaambia nyie Manure ni nyumbu mnabisha
 
Kiukweli kabisa Manchester United yangu kwa sasa kila kitu ktk mwenendo Wa timu wanafanana sana na timu yangu nyingine ya YOUNG AFRICANS. OLE Gunar anaendana kabisaaa na Mwinyi Zahera. Anayetazama kwa ndani zaidi atakubaliana na Mimi. Hivyo basi, Ole hawezi irudisha Man U kama watu wanavyoamini mana hana huo uwezo, vilevile Yanga ili isonge Zahera inabidi afukuzwe fasta.
 
Back
Top Bottom