Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha Tuanzebe ni majeruhi na atakuwa sidelined mpaka baada ya international break .
Sema kwangu mimi First eleven yangu
De Gea
Maguire Lindelof , Rojo
William's, Bissaka Fred, Tominay, pereira
Martial, Rashford na James
It's Matchday

GGMU

Ningependa kuona kitu kama hiki

DeGea

Tuanzebe Maguire Lindelof

Bissaka Fred Williams
James McTominay Rashford

Martial
 
Wasaudis washafanya yao
IMG-20191102-WA0053.jpeg
 
Tuanzebe (nje), Maquire, Lindelof na Rashy (mashaka juu u-fit wao),

Kwa Rashy tunaweza kuwa na mbadala, kwa hao wengine kwa pamoja ni mtihani mkubwa
It's Matchday

GGMU

Ningependa kuona kitu kama hiki

DeGea

Tuanzebe Maguire Lindelof

Bissaka Fred Williams
James McTominay Rashford

Martial
 
Kumbuka hapa, Manchester hainunuliwi kutoka kwa Waingereza, bali kutoka kwa MFANYABIASHARA MMAREKANI

Maneno niliyoyaandika kwa capital letter yapewe uzito wake
Kabla ya kuinunua PSG mwarabu aliitaka Liverpool Waliverpool wakakataa kwa kisingizio cha Utamaduni wao wakaamua kumpa Mmarekani.

Sasa na Manchester kuuziwa Muarabu linaweza kuwa ni Jambo gumu kuliko kumnunua Messi
 
Hata mimi sitaki hiyo business. Waarabu timu zao zote licha ya kuwekeza mitaji mikubwa bado siyo kivile

Back
Top Bottom