Saa moja kamili.Hv mashabiki wa MANIYUU🤣 kesho tuamke saa ngap?
yaani juzi wakati wanapanga makundi ya Calabao cup, kuna kitimu cha daraja la 2 kimepangwa na united walikuwa wa naangalia live,walipoona wamepangwa na ibilisi fc wakashangilia kwa nguvu
Sababu ya kushangilia nikufurahia kupangwa na kibondeNi kweli wakishangikia, lakini hujui sababu ya wao kushangilia, lakini sio kosa lako
Haahaa haaa umepaniki mkuu najua una stressNyumbu shangazi yako.
CF ni Martial unategemea utafunga!! Mchezaji mvivu sana. Hajapiga hata shuti moja. Pereira leo alikuwa chini ya kiwango chake na amepiga shuti tatu na sio CF.Hatuwezi kulaumu sana. Tulaumu zaidi kutokufunga, wakati wa attack mbele tunakosa organization kabisa
Acha niendelee kukufrustrateNyumbu shangazi yako.
Mkuu pale tulicheza na Chelsea C.Yani unatoka kumfunga Chelsea then unakuja kufungwa na hii team kweli?Yani malengo ya hii team ni kuchukua Epl kweli?
Hujajua mpira, kiwango gani unataka tulikuwa 65/35 2nd half. Shida ni pale center forward.Manchester united kiwango kidogo, utadhani ndio imepanda daraja
Mkuu kila mtu alikuwa committed, leo wawili tu walituangusha. Martial & PereiraSometimes unajiuliza maswali, hivi Hawa ndio wachezaji wa kulipwa?....mtu anacheza lonyolonyo utadhani kajitolea![]()
Hukujua kwa nini wanashangilia? Tukujuze tu walishangilia kucheza Old Traford na dunia nzima itawaona siku hiyo.yaani juzi wakati wanapanga makundi ya Calabao cup, kuna kitimu cha daraja la 2 kimepangwa na united walikuwa wa naangalia live,walipoona wamepangwa na ibilisi fc wakashangilia kwa nguvu




Vip khali Bornamouth na yeye ni kibondeKibonde wangu, natamani na kesho tuwe na mechi tena...... Stamford Bridge, nikusulubu tena![]()




Tunaomba skrini shot ya leo mkuu.Hukujua kwa nini wanashangilia? Tukujuze tu walishangilia kucheza Old Traford na dunia nzima itawaona siku hiyo.