Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

4 2 3 1 ya Ole imefeli ila hataki kubadilika.
Mechi tatu alizoshinda hakutumia huu mfumo wa Wenger.

Hovyo kabisa
Inabidi amauige conte na mfumo wake pendwa wa beki watatu nyuma, habadili mfumo hata iweje!! hii 4 2 3 1 inatu cost!!
 
wan bissaka ameendelea kuwa useless kwenye kupandisha mashambulizi kama kawaida yake, siku tutakayopata mwalimu mwenye fikra za guardiola au klopp basi tutaingia tena sokoni kwa lengo la kutafuta mlinzi mwengine wa kulia, ina maana tutakuwa tunaendeleza tabia ile ile ya kusajili wachezaji kwa kuangalia zaidi mzuka wa mwalimu.
ndio maana tetesi zake za usajili sikuzifurahia kwa kiwango kikubwa sana.​

bora ashley young kuliko wan bissaka kimchango kwenye kupandisha mashambulizi, timu inasumbuliwa na tatizo la kukosa wachezaji viungo walio creative jambo linalopelekea utatu wetu wa mbele uonekane butu lakini cha kusikitisha jamaa pia na yeye wala haleti faida kutokea pembeni, waangalie liverpool wanavyofaidika na walinzi wao wa pembeni muda wote wa mchezo.
wan bissaka benchi, brandon williams on ili ashley young arudi upande wa kulia

hivi timu yetu inafanya mazoezi ya kumiliki mpira pindi wachezaji wanapokuwa kwenye presha, mbona tunabutua mipira ovyo kama vichaa?​
Hii ni timu ya kuvunja na kujenga upya kabisa chini ya mwalimu anayejua nini anafanya,sio huyu Ole.

Naona kama nilivyosema,kazi ya kuwalaumu mabeki inaanza na sio muda Maguire nae ataanza kuonekana mzigo. Tulimlaumu Smalling leo alipo anafanya poa tu.

Timu haina #10 viungo wazito, hao hao akina Bissaka wafanye kazi ya kuzuia na kupandisha mashambulizi?😂

Viungo wazito kama matairi ya trekta,wakipewa mipira hata kuichekecha waisukume mbele ni kazi,Bissaka mtoto wa watu afanye nini?

Angalia timu zote nzuri kwa sasa zina angalau wachezaji wawili wanaoweza kuchekecha mabeki na kusababisha goli hata kwa lazima hata kama mabeki wa timu pinzani hawataki. MUFC ina nani? Lingard?😂😂 au Rashford ambaye ameotea free-kick moja juzi na kuitwa Ronaldo baada ya kupiga 200+ zilizoenda kupasua vichwa na hata kuua mashabiki?

Angalia tu wachezaji wetu wa ushambulizi uone shida iliyopo,ukimtoa DJ,wengine wote mizigo,Martial sijui ndio ubishoo au ana matatizo ya kisaikolojia.

Kwakifupi ni kwamba, kocha aliyepo pamoja na ubovu na kama atafukuzwa akaja mwingine,wana kazi kubwa sana ya kuisimamisha MUFC tena.
 
Ole ni either mzito sana kufanya maamuzi sahihi au hajui anachofanya. Anaishia kubahatisha.
Ole hajui anachokifanya na ni mbahatishaji tu mkuu.

Nilianza kutambua hili mapema katika mchezo wetu na PSG kwao. Dakika za mwisho aliingiza madogo nao wakaonje UEFA na wala hakuwa na mbinu za kuongeza goli ili tusonge mbele.
 
Tukiwa tunaivunja na tusisahau kuiuza kwa waarabu wanaojua kutumia pesa, sio akina gleza sjui gloza na Woodward rubbish they dont feel pain at all, viletwe vifaa sio hii mikaa ya ovyo, mwarabu haweza kuvumilia kuona timu yake aliyoinunua inafanya upumbavu, tena itakua man u tishio
Hii ni timu ya kuvunja na kujenga upya kabisa chini ya mwalimu anayejua nini anafanya,sio huyu Ole.

Naona kama nilivyosema,kazi ya kuwalaumu mabeki inaanza na sio muda Maguire nae ataanza kuonekana mzigo. Tulimlaumu Smalling leo alipo anafanya poa tu.

Timu haina #10 viungo wazito, hao hao akina Bissaka wafanye kazi ya kuzuia na kupandisha mashambulizi?

Viungo wazito kama matairi ya trekta,wakipewa mipira hata kuichekecha waisukume mbele ni kazi,Bissaka mtoto wa watu afanye nini?

Angalia timu zote nzuri kwa sasa zina angalau wachezaji wawili wanaoweza kuchekecha mabeki na kusababisha goli hata kwa lazima hata kama mabeki wa timu pinzani hawataki. MUFC ina nani? Lingard? au Rashford ambaye ameotea free-kick moja juzi na kuitwa Ronaldo baada ya kupiga 200+ zilizoenda kupasua vichwa na hata kuua mashabiki?

Angalia tu wachezaji wetu wa ushambulizi uone shida iliyopo,ukimtoa DJ,wengine wote mizigo,Martial sijui ndio ubishoo au ana matatizo ya kisaikolojia.

Kwakifupi ni kwamba, kocha aliyepo pamoja na ubovu na kama atafukuzwa akaja mwingine,wana kazi kubwa sana ya kuisimamisha MUFC tena.
 
Ukiwatazama liverpool wanavyocheza halafu ukaambiwa walilazimisha sare dhidi ya hii MUFC mbovu huwezi kuamini kabisa.

Vs Man United ni "North West Derby"
Lazima itakuwa na ugumu tu ndani yake
 
Tukiwa tunaivunja na tusisahau kuiuza kwa waarabu wanaojua kutumia pesa, sio akina gleza sjui gloza na Woodward rubbish they dont feel pain at all, viletwe vifaa sio hii mikaa ya ovyo, mwarabu haweza kuvumilia kuona timu yake aliyoinunua inafanya upumbavu, tena itakua man u tishio
Ni bahili sana hao watu,inawezekana Ole alikubali mshahara mdogo sana😂
 
Polen sana wakuu, ni mda mbaya sana uliopo
Tatizo lenu kubwa sana na sio kocha
 
So we blame players lakini wengi hao uwezo wao ndipo ulipoishia they can't do more...pia kocha naye hana uwezo wa kuiongoza big club, viatu ni vikubwa vinampwaya..na pengine unavyosema kwamba ni mabahili, ni kweli kabisa, hivi Manchester united inashindwa kumalizana na mchezaji kama Paulo dyabala? Ok paul pogba yuko vile sababu mtu kama ole hawez kabisa kumuonya, lakini unadhani kwanini waarabu wa man city waliona pep ana guts hata za kumuweka bench kun aguero, because ana guts na anajua ku deal na wachezaji wanaonata kama pogba...na zaidi anajua tactics ...kwakweli tuna hitaji waarabu ...ndio tutaiona Manchester mpya na kikosi kitavunjwa hadi na bodi vunja vunja kila kitu
Ni bahili sana hao watu,inawezekana Ole alikubali mshahara mdogo sana
 
Meanwhile bolingoli kaweka 2 huko
Screenshot_20191102-220701~2.jpeg
 
Back
Top Bottom