🤣🤣🤣yaani juzi wakati wanapanga makundi ya Calabao cup, kuna kitimu cha daraja la 2 kimepangwa na united walikuwa wa naangalia live,walipoona wamepangwa na ibilisi fc wakashangilia kwa nguvuHakuna tofauti kati ya man utd na mwadui![]()





Pengo la Hazard linaonekana huku.Mashabiki wa Man u wanamlaumu pogba kucheza chini ya kiwango.
Kichaa huwa hakiponi mkuu ila kinatulia kwa muda,na kina miezi yakeBaada ya kubahatisha vile vi mechi vitatu mkasema oooh Manchester United are back in form hiyo jeuri kwa sasa hamna tena
WashaelewaKings nini?
Tatizo sio kocha wala wachezaji, wachezaji baadhi yao ndio mwisho wao wa uwezo,Hii ndio timu yetu lolote likitokea sawa kauli mbiu tunajenga timu
Marefa wanachokaNo penalty, no party.
Wanabahatisha na kukamia mechi kubwa badala ya kutengeneza timu ya ushindani
√Hiki kinachotokea ndo kile tunacholia nacho kila siku..consistency..Martial anacheza mechi moja vizuri nyingine hovyo..Tunahitaji No 9 wa kueleweka
√Sijawahi kumkubali Perreira..ni bora kwenye kitu gani??..Tunahitaji play marker ambaye pia anaweza kutoa key passes za uhakika
√Kuna watu wanamlaumu sana Fred ila mimi naona anapambana anapass foward,anatuliza timu n.k..anamiss kitu kwenye kukaba,anakuwa na Papara..
√Hii timu bila Pogba hatuwezi kabisa kutengeneza nafasi za kueleweka..Tunaomchukia huu ukweli lazima utuume
√On and Off that our mood this season..leo sherehe kesho msiba..inabidi tuzoee tu,no way
Nimekuelewa mkuu,Ibilisi fc walistahiri kipigoAngalia msimamo hawajabahatisha.View attachment 1252072