Ni creative kuliko
Mata?? Hana mpya huyo mzee.
Mata?? Hana mpya huyo mzee.
Na ndio hivyo Man U huwa inashinda kirahisi sana. Napenda sana Rashford acheze katiMartial hiyo nafasi imempwaya, bora aende winga then Rashford aje kati
Mbona mapema sana mkuu, mnaweza mkarudisha na kushinda hii game.Hii team siku hizi ukiitazama kinachotokea ndio hicho hicho ukikubali
Hahaha nimekuambia kinachotokea ndio hicho nakikubaliMbona mapema sana mkuu, mnaweza mkarudisha na kushinda hii game.
Mbona unalalama sana,Tulia angalia mpira bana acha mipasho.Duh kweli kuzifunga timu zinazoziba njia kwa timu yetu itakuwa ngumu sana hii mechi ishakuwa ngumu asante De Gea
Wameyataka wenyeweHuu msimu mgumu sana, haijawahi kutokea tangu naanza kuishabikia United miaka kama 25 iliyopita.
hata ule msimu wa Moyes mkuu?Huu msimu mgumu sana, haijawahi kutokea tangu naanza kuishabikia United miaka kama 25 iliyopita.
Timu haijielewi kabisahata ule msimu wa Moyes mkuu?
BOURNEMOUTH acheni Upumbavu tunahitaji hizi point 3.
Manchester united kiwango kidogo, utadhani ndio imepanda darajaHuu msimu mgumu sana, haijawahi kutokea tangu naanza kuishabikia United miaka kama 25 iliyopita.
Yani ni vituko.Sijahangaika kuitazama niliyajua haya.Yani unatoka kumfunga Chelsea then unakuja kufungwa na hii team kweli?Yani malengo ya hii team ni kuchukua Epl kweli?