Mkuu Upepo wa Pesa jifunze kukubali kutofautiana mawazo na mitizamo,pia dharau si kitu kizuri ndugu.Huna akili kichwani mwako.
Young ana kazi gani? Au ni kocha msaidizi wa uwanjani?
Ole anakosea sana,dogo anahitaji nafasi yule ili awe moto. Naona amerudia mfumo wake. |
Jamaa mbishi sana ngoja tuone.
Ole anakosea sana,dogo anahitaji nafasi yule ili awe moto. Naona amerudia mfumo wake.
Ole anakosea sana,dogo anahitaji nafasi yule ili awe moto. Naona amerudia mfumo wake.
Kumbuka hapa, Manchester hainunuliwi kutoka kwa Waingereza, bali kutoka kwa MFANYABIASHARA MMAREKANI
Maneno niliyoyaandika kwa capital letter yapewe uzito wake
SIKU YANGU HII IMESHAHARIBIWA MAPEMAAAA NA MARTIAL![]()
Mkuu una uhakika...muangalie James halafu linganisha na hiyo takataka. Umeona mistake anazofanya kila wakati?Mbona yupo kwenye Form kiongozi
Tatizo la Manchester United kupiga pass za makadirio imekuwa shida. Linderolf na Bisaka sielewi wanachokifanya ila kama wakiendelea hivi kidogo kuna matumaini ya kubadilika huko mbeleni
Mipira mingi wanayotakiwa kutembea nayo wanashindwa kufanya hivyo angalia sanaSijakuelewa kwa jauoni wanayofanya Victor na Aron? Ungesema Martial kidogo ningeelewa
Mipira mingi wanayotakiwa kutembea nayo wanashindwa kufanya hivyo angalia sana